Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Is the iPhone "Illegal?"
The US sued Apple for the iPhone being a monopoly... is the walled garden illegal?
Get a hydro

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Tunaonyesha kwamba tuna nguvu za kutosha ! Lakini hapa bado tunahitaji suppport ! Asante mke wangu @niffaty

All Hamily Keypad Mobile Factory Reset Secret Code Keypads Mobile reset Code
All Keypad Mobile Hard Reset Secret Code |

how to make video transmitter , PCB board
How to Make 500 Meter Range Wireless Video Camera
how to make wireless camera

Kilimo na Tech: Teknolojia mpya zitakazo kufanya ufanye kilimo cha chenye tija na cha kisasa zaidi.
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Kilimo na Tech: Teknolojia mpya zitakazo kufanya ufanye kilimo cha chenye tija na cha kisasa zaidi.
Matumizi ya Drones: Drones au ndege zisizo na rubani zinaweza kutumika katika ufuatiliaji wa mazao, kupambana na magonjwa au wadudu, na hata pia zinaweza kutumika kutia mbolea kwa ustadi zaidi. Sensa za Udongo na Hali ya Hewa: Ndoto ya wakulima wengi kuweza…
KONA YA TEKNOLOJIA | TEKNOLOJIA.CO.TZ
Teknolojia Na Kilimo: Soma Makala Inayo elezea Teknolojia mpya ambazo vikitumika kwa ufanisi zina weza kubadilisha kilimo chetu!
Teknolojia na vifaa kama Drones, sensorer za udongo, na programu za simu zitasaidia wakulima kupata mavuno bora na kujenga uchumi imara.
Kuelewa ni jinsi ghani hasa teknojia hizi zinazoweza kutumika kwenye kilimo kuleta tija tembelea https://teknolojia.co.tz/kilimo-na-tech-teknolojia-mpya-zitakazo-kufanya-ufanye-kilimo-cha-chenye-tija-na-cha-kisasa-zaidi/
#KilimoSmart #TeknolojiaYaKilimo #UkuajiWaUchumi #Tanzania

🆕 WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza ukubwa wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status.
🔘 WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30!
🟡 Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.

🆕 TikTok Notes
🚨 TikTok imeanza kuweka sehemu mpya ambayo itakuwa ni maalum kwa post za picha ambazo zina maelezo marefu (kama style ya Notes au Blogs).
- TikTok Notes itakuwa ni app mpya, na post zake pia zitaonekana na kwenye mtandao wa TikTok.
- Pia kuna option ya kuamua post zako za picha zisikae kwenye TikTok Notes.

🆕 Google Search haitaendelea kuwa ni huduma ya BURE
- Google ina mpango wa kuweka features za kipekee kwa kutumia Akili Bandia na kuongeza uwezo mkubwa ambao hautapatikana kwenye mfumo wa kawaida wa Google Search.
- Google imeweka Search Generative Experience (SGE) ambayo inaunganisha mfumo wa kawaida wa Google na mfumo wa AI; lakini haitaweka katika Google Search ya kawaida.
- Pia inasadikiwa Google Search Premium haitakuwa na matangazo mengi kama Google ya kawaida.
- Google ina mpango wa kuweka features za kipekee kwa kutumia Akili Bandia na kuongeza uwezo mkubwa ambao hautapatikana kwenye mfumo wa kawaida wa Google Search.
- Google imeweka Search Generative Experience (SGE) ambayo inaunganisha mfumo wa kawaida wa Google na mfumo wa AI; lakini haitaweka katika Google Search ya kawaida.
- Pia inasadikiwa Google Search Premium haitakuwa na matangazo mengi kama Google ya kawaida.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Wimbo wa Dar es Salaam
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Track nyingine ya Dar es Salaam
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Another Sample inayotaja Mlima Kilimanjaro 🏔️
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
AI inajua kuimba matatizo ya kulala usiku bila umeme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
NEW PyCharm Features I Never Knew I Needed (Sticky Lines & New Terminal)
PyCharm has surprised us all with its latest up