Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.69K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Toleo la pili la gari aina ya BMW X2 itaanza kuuzwa mwezi ujao.

🔘 BMW X2 hii mpya ina umbo kubwa kuliko ambazo zimepita, ikiwa na urefu wa milimita 4554, upana wa milimita 1845, na urefu wa milimita 1590.

🔘 Matairi yake yatakuwa ni inchi 21, Taa za mbele zina uwezo wa kubadilika (adaptive matrix LED), zikiwa na vipande vya bluu ndani ya taa. Ndani kuna viti vya mbele vilivyosukumwa kwa umeme.

🔘 BMW imeibadili X2 mpya kuwa na mwonekano na hali za kifahari zaidi, na upambaaji nyekundu na nyeusi, na mwanga. Gharama yake inakadiriwa kuwa dola 42,000 ambazo ni sawa na Mil 107 TZS na Mil 6.1 za Kenya.
Sasa watumiaji wa Ubuntu wanaweza kuona hali ya Battery za AirPods.

Mfumo mpya wa GNOME 43 unaruhusu uwezo huu, pamoja na Ubuntu 22.10, 23.04, na 23.10.

Pia mabadiliko haya yanafanya kazi katika headsets za Beats
Threads, aplikesheni ya Instagram imeongeza uwezo wa kuhifadhi posts.

Watumiaji wataweza kuhifadhi post yoyote ndani mtandao huo kwa kubofya kitufe chenye nukta tatu juu kulia na kuletewa chaguo la kuhifadhi post husika.

#Threads #Instagram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

5 Uncommon Python Features I Love
Here are 5 great & uncommon Python features that you can use in your Python projects.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 BRILLIANT TOOLS YOU MUST SEE
Mind Warehouse ►

1) BullseyeBore Core


2) Elephants Trunk 3


3) MAKAGIC


4
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

OnePlus Watch 2 Review: Total Redemption!
Hybrid powertrain in a smartwatch. Now that's an idea.

OnePlus Watch 2:

MKB
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 INGENIOUS HOMEMADE PROJECTS THAT WILL SURPRISE YOU
Mind Warehouse ►

1) Manned Drone



2) Front Loader
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Differences Between ChatGPT 3 Vs ChatGPT 4
Welcome to our channel! In this video, we delve into the exciting world of conversational AI by comparing two groundbreaking models: ChatGPT 3 and ChatGPT 4. As the latest iterations in OpenAI's line of language models, understanding the disparities between these two versions is crucial for anyone interested in natural language processing and AI advancements.

Join us as we break down the disparities in performance, capabilities, and applications between ChatGPT 3 and its successor, ChatGPT 4. We'll explore how ChatGPT 4 builds upon its predecessor's strengths, offering enhanced contextual understanding, smoother conversational flow, and more accurate responses.

From improvements in handling complex queries to advancements in generating human-like text, this video provides a comprehensive comparison that highlights the evo...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 BRILLIANT CAMPING GADGETS EVERYONE SHOULD HAVE
Mind Warehouse ►

1) THEDOOKAN Loft Penthouse


2) Anker EverFrost