This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Cosmic Dream & GPTs for Image Generation
Welcome to our channel! In this video, we delve into the fascinating realm where cosmic dreams meet cutting-edge technology. Join us as we explore the intersection of artistry and artificial intelligence, specifically focusing on the innovative capabilities of Generative Pre-trained Transformers (GPTs) for image generation.
Harnessing the power of GPTs, we embark on a mesmerizing journey through the cosmos, where imagination knows no bounds. Whether you're an artist, a tech enthusiast, or simply curious about the possibilities of AI, this video offers insights into how GPTs can transform conceptual visions into stunning visual realities.
From celestial landscapes to surreal abstract art, discover how GPTs can seamlessly blend creativity with computational prowess, opening new horizons for artistic expression and experimenta...

Baadhi ya taarifa zinasema kwamba Oppo na Vivo huenda zikafikiria kusitisha kutengeneza simu mpya zinazokunjwa. Habari hizi bado hazijathibitishwa na kampuni hizo rasmi.
Sababu kuu zinasemekana ni kushuka kwa nafasi zao kwenye mauzo ya simu zinazokunjwa katika mwaka wa 2023 na kupelekea hasara kubwa.
Inaonekana kwamba hawaoni njia ya kurejesha sehemu yao ya soko kwa haraka. Ila kwa miaka ijayo itaendelea kufanya uwekezaji wa muda mrefu.
𝗞𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝗵𝗶𝘇𝗶 𝘇𝗶𝗹𝗶𝘁𝗼𝗮:
✹ 𝙑𝙞𝙫𝙤 𝙓 𝙁𝙤𝙡𝙙 𝙢𝙬𝙖𝙠𝙖 𝟮𝟬𝟮𝟮。
✹ 𝙑𝙞𝙫𝙤 𝙓 𝙁𝙤𝙡𝙙 𝟮 𝙞𝙡𝙞𝙩𝙤𝙠𝙖 𝙢𝙬𝙖𝙠𝙖 𝟮𝟬𝟮𝟯
✹ 𝙊𝙥𝙥𝙤 𝙁𝙞𝙣𝙙 𝙉 𝙞𝙡𝙞𝙩𝙤𝙠𝙖 𝙢𝙬𝙖𝙠𝙖 𝟮𝟬𝟮𝟮
✹ 𝙊𝙥𝙥𝙤 𝙁𝙞𝙣𝙙 𝙉𝟮 𝙁𝙡𝙞𝙥 𝙮𝙖 𝙢𝙬𝙖𝙠𝙖 𝟮𝟬𝟮𝟯
Hizi simu zilifanya vizuri sana katika design, sidhani kama kampuni hizi zitasitisha kutengeneza simu za aina hizi. Mfano Oppo Find N2 imechukua tuzo ya kuwa simu bora folding ya mwaka jana.

👍1
Nvidia sasa ina thamani zaidi kuliko Alphabet (kampuni inayomiliki Google, YouTube na Android) na kampuni ya Amazon, na sasa imeingia kama kampuni ya nne yenye thamani kubwa duniani. Inashika nafasi ya nne baada ya Microsoft, Apple, Aramco; halafu nafasi ya tano ni Alphabet (Google).
Nvidia inaongoza mbio za chip ambazo zinatumika na system zinazounda Akili Bandia mbalimbali zinazotumika duniani, na chip yake ya H100 inaendesha mifumo mingi, ikiwemo ChatGPT na miradi ya akili bandia za Microsoft, Meta, na Amazon.
Kampuni kubwa za teknolojia duniani zipo kwenye mbio za kujenga chip zao binafsi za GPU kushindana na umiliki wa Nvidia.
Nvidia iko karibu kutoa H200 ambayo ni chipu bora zaidi ya AI, yenye uwezo mkubwa wa kumbukumbu na upana wa data kuliko mtangulizi wake. AMD na Intel pia zinapambana kuunda chip mpya za AI.
Nvidia imewekeza dola bilioni 30 katika kitengo cha kusaidia kampuni ndogondogo kutengeneza chip maalum za AI, itakuwa na nafasi nzuri ya kushindana na washindani wake.

📊 Kampuni ambazo zinaongoza kwa kuwa na thamani kubwa (kwa kuangalia market cap) https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1758115038101897615#m
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
15 GADGETS THAT WILL MAKE YOUR LIFE SAFER
Mind Warehouse ►
1) Stinger Loud+ Personal Alarm
2) F3Defense
3)

how to slow down electric meter reading , save electricity bill device Anker SOLIX
how To Save Electricity Bill at home
how to slow down electric meter reading , save electricity bill device Anker SOLIX
how To Save Electricity Bill at home
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Hii ni taa ya watt 20,000.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Hii kwangu ni picha yangu bora kwa 2024 ambayo nimepiga na Galaxy S24 Plus , Full Review ya S24 plus ipo kwenye YouTube Channel @samsungtanzania @samsungkenya #EpicJustLikeThat #GalaxyS24 #GalaxyAI
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
AI Generated Videos Just Changed Forever
Reminder: It’s only been 1 YEAR since the Will Smith eating spaghetti video
Op

Galaxy S24 Plus Review : Picha Yangu Bora 2024
#snashtz #galaxys24ultra #galaxys24plus

Katika ripoti iliyotolewa wiki hii na gazeti la Taiwanese, Economic Daily News, inasemekana kwamba chip mpya za Apple za A18 na M4 zitakazotumika kwenye simu za iPhone na Mac za baadaye zitakuwa na Neural Engine iliyoboreshwa na hizi chip mpya zitakuwa na core nyingi.
Neural Engine ni sehemu maalum kwenye chip za iPhone, iPads, na Mac, ambazo kazi yake kwenye chip ni kusimamia kazi zinazohusu mashine kujifunza kuhusu kazi unazofanya na programs unazotumia. Apple inapanga sehemu hii iwe maalum kwa kusimamia pia kazi za AI na mashine kujifunza.
iOS 18 itakuwa na akili bandia katika mifumo ya Siri, Shortcuts, Messages, Apple Music, na zaidi. Mkurugenzi Mtendaji wa Apple, Tim Cook, alisema katika ripoti za mapato mwezi huu kwamba kampuni hiyo inaweka focus kwenye Generative AI, na iOS 18 inatarajiwa kutangazwa kwenye mkutano wa mwaka wa wabunifu wa Apple, WWDC, mwezi wa Juni.
Apple inataka kazi nyingi za akili bandia ziwe zinafanyika moja kwa moja kwenye simu, bila kulazimika kutumia i...
View original post

It finally happened!
I probably make too many of these videos, but I'm just super grateful for everything Indently has b

How to Use ChatGPT for Content Creation!
🚀 Unlock the Power of ChatGPT for Content Creation! 📝
Welcome to our latest video tutorial, where we delve into the exciting realm of content creation with ChatGPT! If you're eager to enhance your writing process, streamline content generation, and boost productivity, you're in the right place.
In this comprehensive guide, we'll walk you through everything you need to know to harness the full potential of ChatGPT for crafting engaging and compelling content. Whether you're a seasoned content creator looking to elevate your work or a newcomer eager to explore innovative tools, this tutorial is tailored just for you.
Here's what you can expect to learn:
🔍 Understanding the basics of Cha...

Stanley Druckenmiller, mwekezaji mwenye mafanikio, aliuza mali zake zote za Amazon na Alphabet katika robo ya nne ya 2021 kupitia Duquesne Capital.
Sababu za Druckenmiller kuuza hazijulikani, lakini alinunua simu za Nvidia zenye thamani ya dola milioni 242 na kuongeza uwekezaji wake kwenye hisa za kampuni za AI. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1758115038101897615#m

OpenAI (mwanzilishi wa ChatGPT) imetangaza kutoa akili bandia mpya ambayo inaitwa Sora, inaweza kuunda video zenye ubora wa hali ya juu kutokana na maagizo ya maandishi. Utaweza kuandika maelezo ya kuhusu video ambayo unaitaka kwa maandishi halafu akili bandia itatengeneza video cut inayoendana na kile ambacho umeandika.
Sora itakuwa ni akili bandia ya text-to-video; unaandika tu kwa maneno na akili bandia inakutengenezea video. Sam Altman, Mkurugenzi Mtendaji wa OpenAI, amesema watumiaji wanaweza kuomba maombi ya kujaribu Sora.
Teknolojia inazidi kubadilika kwa speed, kwa sasa itakuwa ni rahisi kupata video ambazo zimetengenezwa na akili bandia. Video hizi zinaweza kutumika kwenye matangazo, movies, miziki, video za mitandaoni na katika platform mbalimbali.
Sora itakuwa ni akili bandia ya text-to-video; unaandika tu kwa maneno na akili bandia inakutengenezea video. Sam Altman, Mkurugenzi Mtendaji wa OpenAI, amesema watumiaji wanaweza kuomba maombi ya kujaribu Sora.
Teknolojia inazidi kubadilika kwa speed, kwa sasa itakuwa ni rahisi kupata video ambazo zimetengenezwa na akili bandia. Video hizi zinaweza kutumika kwenye matangazo, movies, miziki, video za mitandaoni na katika platform mbalimbali.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Hii ni Screen Protector ambayo ni Imara sana ,lakini ni Privacy.Ila ni Screen Protector ambayo ina FIT simu zaidi ya 65. Wasiliana nami kupitia +255 756 445 759 ,nauza kwa bei ya Jumla.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
15 COOL INVENTIONS FOR A PICKUP TRUCK
Mind Warehouse ►
1) Rack N Roll
2) ROELLI X-RACK
3) S
15 COOL INVENTIONS FOR A PICKUP TRUCK
Mind Warehouse ►
1) Rack N Roll
2) ROELLI X-RACK
3) S
Meta, kampuni inayomiliki Instagram na Threads, imefanya mabadiliko kwenye sera zake ili kuzuia maudhui ya kisiasa kuonekana kwenye Instagram na Threads.
Adam Mosseri, kiongozi wa Instagram, alisema kuwa lengo lao ni kuhifadhi uwezo wa watu kuchagua kuingiliana na maudhui ya kisiasa, huku wakiheshimu tamaa ya kila mtu kwa hilo. Mabadiliko haya yataanza kutumika katika wiki zijazo. Facebook pia inatarajiwa kuanzisha udhibiti huu mpya katika tarehe isiyojulikana.
Watumiaji wanaotaka bado kupata mapendekezo ya maudhui yanayoweza kuzungumzia serikali, uchaguzi, au mada za kijamii zinazoathiri kundi la watu au jamii kwa ujumla wanaweza kuchagua kuondoa kizuizi hiki ndani ya mipangilio ya akaunti zao.
Mabadiliko haya yatahusu akaunti za umma zinapokuwa zimeanzishwa na katika maeneo ambayo maudhui mbalimbali yanapendekezwa, kama vile Explore, Reels, na Feeds.
Mabadiliko haya yatahusu akaunti za umma na katika maeneo ambayo maudhui mbalimbali yanapendekezwa, kama vile Explore, Reels, na F...