Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Hii ni simu ya VERTU Ascent Ti - ilitoka mwaka 2007.

Ni simu ya kwanza duniani kuwa na frame za titanium, bei yake ilikuwa ni 5530 EUR ambazo ni sawa na Milioni 15.1

Ilikuwa ni luxury phone kwa watu maalum!

💡 Imagine mwaka 2007 simu ya titanium ina gharama ya Milioni 15; miaka ya 2023 simu za titanium zinaanzia gharama ya milioni 3 na kuendelea.
🆕 Xiaomi inaweza kutoa simu mpya za Xiaomi 14 Ultra ikiwa na frame ya titanium badala ya aluminium kama ilivyozoeleka. Xiaomi inapanga kuweka frame za titanium katika simu zake lakini itakuwa ni katika baadhi ya simu.

🔘 Simu ambazo zinatumia frame za titanium zimekuwa ni simu ambazo zimeanza kuwa na umaarufu na heshima yake. Titanium ni imara, ngumu na nyepesi zaidi ya chuma na aluminium. Ni nyepesi hivyo inapunguza simu kuwa nzito na inashikika kwa urahisi. Pia haiwezi kupata kutu au kubadilika rangi ikipata jasho, mwanga mkali wa jua na mafuta ya mikono.

🔘 Tangu mwaka 2017 simu za titanium zimeanza kuwa na nguvu, mwaka jana September 2023 Apple ilianza kuweka frame za titanium kwenye simu za iPhone 15 Pro; mwaka huu Samsung imeweka frame za titanium katika simu za Galaxy S24 na soon Xiaomi inaingia katikja orodha ya brand ambazo zinatengeneza simu katika frame za titainium.
Kampuni za teknolojia kama Apple, HTC, Sony, na Meta zimeanza kuuza vifaa vipya vya VR/HR na kuwakilisha dunia ya metaverse kupitia kifaa maalum cha kuvaa kwenye macho. Hata hivyo, watafiti wanaonyesha wasiwasi kuhusu athari za muda mrefu kwenye ubongo.

Kuna hofu kwamba matumizi ya muda mrefu ya vifaa hivi vya ukweli wa kubadilishana vinaweza kuleta mabadiliko makubwa katika mtazamo wa ulimwengu na hata kufanya iwe ngumu kukubaliana juu ya ukweli.

Kwa kifupi, inaweza kupelekea ubongo ukashindwa kutofautisha kati ya uhalisia na ulikwengu wa kidogitali na pia inaunda (wiring) neva za ubongo katika experience ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzibadilisha.

Matumizi ya teknolojia ya VR/AR, licha ya kuwa ni suluhisho la kuona ulimwengu wa kidigitali, inaweza kusababisha athari za kijamii. Watu wanaweza kuona wenzao kama avatars au kutoweza kuhisi uwepo wao wa kweli. Kwa kuongeza, teknolojia hii inaweza kufuta au kuongeza vitu katika ulimwengu wa kweli, na hivyo kuleta changamoto za kimaadili ...

View original post
Kampuni za teknolojia kama Apple, HTC, Sony, na Meta zimeanza kuuza vifaa vipya vya VR/HR na kuwakilisha dunia ya metaverse kupitia kifaa maalum cha kuvaa kwenye macho. Hata hivyo, watafiti wanaonyesha wasiwasi kuhusu athari za muda mrefu kwenye ubongo na jinsi matumizi ya muda mrefu ya vifaa hivi vinavyoweza kubadilisha mtazamo wetu wa ulimwengu na hata kushindwa kukubaliana kuhusu ukweli.

Matokeo ya muda mfupi ya matumizi ya ukweli wa kubadilishana ni pamoja na kusahau umbali na kubadilika kwa vitu ndani ya headset tofauti na uhalisia. Hata hivyo, matumizi ya muda mrefu yanaweza kusababisha madhara makubwa kama vile kichefuchefu na kizunguzungu. Kuna hofu kwamba matumizi ya muda mrefu ya vifaa hivi vya ukweli wa kubadilishana vinaweza kuleta mabadiliko makubwa katika mtazamo wa ulimwengu na hata kufanya iwe ngumu kukubaliana juu ya ukweli.

Kwa kifupi, inaweza kupelekea ubongo ukashindwa kutofautisha kati ya uhalisia na ulikwengu wa kidogitali na pia inaunda (wiring) neva za ubongo...

View original post
🆕 Sehemu ya "Send feedback" kwenye programu za Google zimeboreshwa hivi karibuni ili kuboresha uzoefu rahisi wa kutumia sehemu hii.

🔘 Sasa, unaweza kutoa maoni kwa kujibu maswali machache, kuhariri picha ya screen, na kushiriki maoni yako.

🔘 Maboresho haya yanapatikana kwenye programu nyingi za Android na baadhi za iOS, lakini bado hayajazinduliwa kwenye Blog ya Google.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 AMAZING GADGETS FOR TOOL FANS
Mind Warehouse ►

1) Makita MW001GZ Microwave Oven


2) Bosch GPB 18V-5 C


3)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

most powerful laser , experiment AtomStack B3 Enclosure: Unboxing and Review
Welcome to our unboxing and review video fo
Apple Music imeweka sehemu maalum ya kuonyesha nyimbo na albums za mahusiano. Sehemu hii imepewa jina la "Romance"
🗓️ Simu mpya ya Nothing Phone (2a) itaanza kuuzwa rasmi March 5
🆕 Mwenyekiti wa Tume ya Mawasiliano (FCC) ameitaka tume kuchunguza Apple kwa kuchukua hatua kali dhidi ya Beeper Mini.

🔘 Beeper Mini ilikuwa ni app ambayo inawezesha watumiaji kutumia app ya iMessage kwenye simu za Android; lakini Apple iliifungia kwa sababu iliona italeta ushindani kwa sababu watumiaji wa Android watakuwa na uwezo wa kupata mfumo wa iMessage bila kulazimika kuwa na kifaa cha Apple.
🎬 Hii ni documentary nzuri ya kuitazama kwa sababu inaonyesha vizuri mchango wa mtu mweusi katika teknolojia ya anga.

🔘 Utaweza kuona waafrika wa mwanzo ambao wameshiriki na kuacha historia katika sayansi ya anga.
Instagram sasa imeweka kikomo cha idadi ya hashtags zinazoweza kuongezwa kwenye chapisho.

Mabadiliko haya yatafawafanya watumiaji kuongeza hashtag tano tu kwenye chapisho moja.

#Hashtag #Instagram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

HERE'S HOW PROFESSIONALS DEEP CLEAN THINGS
Mind Warehouse ►

For copyright matters please contact us at: copymanager.m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Cosmic Dream & GPTs for Image Generation
Welcome to our channel! In this video, we delve into the fascinating realm where cosmic dreams meet cutting-edge technology. Join us as we explore the intersection of artistry and artificial intelligence, specifically focusing on the innovative capabilities of Generative Pre-trained Transformers (GPTs) for image generation.

Harnessing the power of GPTs, we embark on a mesmerizing journey through the cosmos, where imagination knows no bounds. Whether you're an artist, a tech enthusiast, or simply curious about the possibilities of AI, this video offers insights into how GPTs can transform conceptual visions into stunning visual realities.

From celestial landscapes to surreal abstract art, discover how GPTs can seamlessly blend creativity with computational prowess, opening new horizons for artistic expression and experimenta...