โBluesky imefikia watumiaji milioni 3.2 kwa code za kualika, na wiki hii, imeona ongezeko kubwa na kufikia watumiaji milioni 4.5 baada ya kuruhusu watu kujiunga moja kwa moja bila kutumia invite codes.
vxTwitter / fixvx
Sw.Tek (@Swahili_Tek)
๐ Bluesky imeanza kuruhusu watumiaji wote kujiunga kwenye mtandao. Imeacha utaratibu wa kutumia Invite Code
๐ Imepata watumiaji wapya 850k na ndani ya sekunde 8.5 inapata mtumiaji mpya
๐ Posts zaidi ya Milioni 2 zimetengenezwa ndani ya masaa 24
ใQRT ofโฆ

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
MILITARY INVENTIONS THAT YOU SHOULD SEE
Mind Warehouse โบ
1) Mehler Protection ExoM
2) ProApto PREDATOR
3) S
MILITARY INVENTIONS THAT YOU SHOULD SEE
Mind Warehouse โบ
1) Mehler Protection ExoM
2) ProApto PREDATOR
3) S
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
Make Best ADS With ChatGPT
Creating compelling advertisements can be a game-changer for your business or brand, and with the advent of AI technologies like ChatGPT, it's become more accessible than ever. In this video, we dive deep into how you can leverage ChatGPT to craft the best ads that not only capture attention but also convert viewers into customers.
Whether you're a small business owner, a digital marketer, or simply curious about the potential of AI in advertising, this video is packed with insights, tips, and step-by-step guides to help you create ads that stand out. We'll cover everything from the basics of ChatGPT, how to prompt it effectively for creative ad copies, to integrating these copies into your marketing strategy for maximum impact.
๐ฅ What You'll Learn:
The fundamentals of ChatGPT and how it can revolutionize your ad creation process.
Techniques for prompting ChatGPT to generate creative, engaging, and effective ad copy.
Tips for...

๐ Jeff Bezos ameuza takriban hisa milioni 12 za Amazon wiki hii kwa takriban dola bilioni 2 ambazo ni kama Trilioni 5 za Kitanzania au Bilioni 324 za Kenya, hii ikiwa ni mauzo yake ya kwanza ya hisa za Amazon tangu mwaka 2021.
๐ Mauzo haya ni sehemu ya mpango mkubwa, uliofunuliwa katika hati ya kila mwaka ya 10-K ya Amazon, ambayo inamruhusu Bezos kuuza hadi hisa milioni 50 ifikapo Januari 2025.
๐ Hatua hii inafuata baa ya uamuzi wa Bezos wa kufanya Miami kuwa makazi yake rasmi, mabadiliko ambayo yanaweza kumpunguzia karibu dola milioni 600 katika gharama za kodi ikiwa atauza idadi kubwa ya hisa chini ya mpango huo. Kwa sababu ya kutokuwepo kwa kodi ya faida ya mtaji huko Florida.
______________
#Amazon #Teknolojia
๐ Mauzo haya ni sehemu ya mpango mkubwa, uliofunuliwa katika hati ya kila mwaka ya 10-K ya Amazon, ambayo inamruhusu Bezos kuuza hadi hisa milioni 50 ifikapo Januari 2025.
๐ Hatua hii inafuata baa ya uamuzi wa Bezos wa kufanya Miami kuwa makazi yake rasmi, mabadiliko ambayo yanaweza kumpunguzia karibu dola milioni 600 katika gharama za kodi ikiwa atauza idadi kubwa ya hisa chini ya mpango huo. Kwa sababu ya kutokuwepo kwa kodi ya faida ya mtaji huko Florida.
______________
#Amazon #Teknolojia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
5 Useful F-String Tricks In Python
Here are my top 5 most useful f-string formatting tricks that I use everyday in Pytho

๐ Pia katika mfumo mpya wa Windows 11; watumiaji wataweza kujiunga kwenye vikao vya Microsoft Teams moja kwa moja kupitia sehemu ya Start Menu
๐ Mfumo mpya wa Windows 11 Insider Preview Build 22635.3140 (Beta Channel) umetoka Feb 8. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1756978955469340868#m
๐ Mfumo mpya wa Windows 11 Insider Preview Build 22635.3140 (Beta Channel) umetoka Feb 8. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1756978955469340868#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐ Gari ya Audi Q8 e-tron 2024 ina uwezo wa kuonyesha alama ya hatari endapo kama utakuwa unafungua mlango wa gari katika mazingira ambayo sio salama.
๐ Pia inaweza kuzuia mlango usifunguke ili kuepusha ajali au uharibifu wa mlango. ๐๐ผ
๐ Pia inaweza kuzuia mlango usifunguke ili kuepusha ajali au uharibifu wa mlango. ๐๐ผ
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
Apple Vision Pro is Missing Something...
I already have a wishlist for the next generation Apple Vision Pro
iFixit Tear

Hii ni simu ya VERTU Ascent Ti - ilitoka mwaka 2007.
Ni simu ya kwanza duniani kuwa na frame za titanium, bei yake ilikuwa ni 5530 EUR ambazo ni sawa na Milioni 15.1
Ilikuwa ni luxury phone kwa watu maalum!
๐ก Imagine mwaka 2007 simu ya titanium ina gharama ya Milioni 15; miaka ya 2023 simu za titanium zinaanzia gharama ya milioni 3 na kuendelea.

๐ Xiaomi inaweza kutoa simu mpya za Xiaomi 14 Ultra ikiwa na frame ya titanium badala ya aluminium kama ilivyozoeleka. Xiaomi inapanga kuweka frame za titanium katika simu zake lakini itakuwa ni katika baadhi ya simu.
๐ Simu ambazo zinatumia frame za titanium zimekuwa ni simu ambazo zimeanza kuwa na umaarufu na heshima yake. Titanium ni imara, ngumu na nyepesi zaidi ya chuma na aluminium. Ni nyepesi hivyo inapunguza simu kuwa nzito na inashikika kwa urahisi. Pia haiwezi kupata kutu au kubadilika rangi ikipata jasho, mwanga mkali wa jua na mafuta ya mikono.
๐ Tangu mwaka 2017 simu za titanium zimeanza kuwa na nguvu, mwaka jana September 2023 Apple ilianza kuweka frame za titanium kwenye simu za iPhone 15 Pro; mwaka huu Samsung imeweka frame za titanium katika simu za Galaxy S24 na soon Xiaomi inaingia katikja orodha ya brand ambazo zinatengeneza simu katika frame za titainium.

Kampuni za teknolojia kama Apple, HTC, Sony, na Meta zimeanza kuuza vifaa vipya vya VR/HR na kuwakilisha dunia ya metaverse kupitia kifaa maalum cha kuvaa kwenye macho. Hata hivyo, watafiti wanaonyesha wasiwasi kuhusu athari za muda mrefu kwenye ubongo.
Kuna hofu kwamba matumizi ya muda mrefu ya vifaa hivi vya ukweli wa kubadilishana vinaweza kuleta mabadiliko makubwa katika mtazamo wa ulimwengu na hata kufanya iwe ngumu kukubaliana juu ya ukweli.
Kwa kifupi, inaweza kupelekea ubongo ukashindwa kutofautisha kati ya uhalisia na ulikwengu wa kidogitali na pia inaunda (wiring) neva za ubongo katika experience ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzibadilisha.
Matumizi ya teknolojia ya VR/AR, licha ya kuwa ni suluhisho la kuona ulimwengu wa kidigitali, inaweza kusababisha athari za kijamii. Watu wanaweza kuona wenzao kama avatars au kutoweza kuhisi uwepo wao wa kweli. Kwa kuongeza, teknolojia hii inaweza kufuta au kuongeza vitu katika ulimwengu wa kweli, na hivyo kuleta changamoto za kimaadili ...
View original post

Kampuni za teknolojia kama Apple, HTC, Sony, na Meta zimeanza kuuza vifaa vipya vya VR/HR na kuwakilisha dunia ya metaverse kupitia kifaa maalum cha kuvaa kwenye macho. Hata hivyo, watafiti wanaonyesha wasiwasi kuhusu athari za muda mrefu kwenye ubongo na jinsi matumizi ya muda mrefu ya vifaa hivi vinavyoweza kubadilisha mtazamo wetu wa ulimwengu na hata kushindwa kukubaliana kuhusu ukweli.
Matokeo ya muda mfupi ya matumizi ya ukweli wa kubadilishana ni pamoja na kusahau umbali na kubadilika kwa vitu ndani ya headset tofauti na uhalisia. Hata hivyo, matumizi ya muda mrefu yanaweza kusababisha madhara makubwa kama vile kichefuchefu na kizunguzungu. Kuna hofu kwamba matumizi ya muda mrefu ya vifaa hivi vya ukweli wa kubadilishana vinaweza kuleta mabadiliko makubwa katika mtazamo wa ulimwengu na hata kufanya iwe ngumu kukubaliana juu ya ukweli.
Kwa kifupi, inaweza kupelekea ubongo ukashindwa kutofautisha kati ya uhalisia na ulikwengu wa kidogitali na pia inaunda (wiring) neva za ubongo...

๐ Sehemu ya "Send feedback" kwenye programu za Google zimeboreshwa hivi karibuni ili kuboresha uzoefu rahisi wa kutumia sehemu hii.
๐ Sasa, unaweza kutoa maoni kwa kujibu maswali machache, kuhariri picha ya screen, na kushiriki maoni yako.
๐ Maboresho haya yanapatikana kwenye programu nyingi za Android na baadhi za iOS, lakini bado hayajazinduliwa kwenye Blog ya Google.
๐ Sasa, unaweza kutoa maoni kwa kujibu maswali machache, kuhariri picha ya screen, na kushiriki maoni yako.
๐ Maboresho haya yanapatikana kwenye programu nyingi za Android na baadhi za iOS, lakini bado hayajazinduliwa kwenye Blog ya Google.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
20 AMAZING GADGETS FOR TOOL FANS
Mind Warehouse โบ
1) Makita MW001GZ Microwave Oven
2) Bosch GPB 18V-5 C
3)
20 AMAZING GADGETS FOR TOOL FANS
Mind Warehouse โบ
1) Makita MW001GZ Microwave Oven
2) Bosch GPB 18V-5 C
3)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
most powerful laser , experiment AtomStack B3 Enclosure: Unboxing and Review
Welcome to our unboxing and review video fo