Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿ†• Tim Cook, Afisa Mkuu Mtendaji wa Apple, ametokea katika promo ya Nusu ya Muda - NFL Super Bowl mpya (inayosimamiwa na Apple Music); akiwa amevaa fulana ya Usher (ambaye ndiye ata perform kwenye show) na kufanya mawasiliano ya video call na Ludacris, Lil Jon, na Taraji P. Henson kupitia FaceTime.

๐Ÿ”˜ Apple Music inasponsorisha Onyesho lake la Pili la Nusu ya Muda la NFL Super Bowl katika miaka miwili chini ya ushirikiano na Rocnation ya Jay Z.

๐Ÿ”˜ Mchezo huo utaanza Jumapili, Februari 11, saa 12:30 jioni saa za Mashariki/9:30 alasiri saa za Pacific lakini kwa muda wa Afrika Mashariki itakuwa saa 8:30 Usiku (2:30AM). Unaweza kuangalia mtandaoni kupitia Paramount+, au kwenye televisheni kupitia CBS; au kupitia YouTube na Apple Music.
๐Ÿ“Š Haya ni Magari ambayo yanaongoza kwa kununuliwa na watumiaji wengi nchini Marekani
๐Ÿ“Š Kampuni ambazo zinaongoza kwa thamani kubwa.

๐Ÿ’ก Tazama TikTok inakaribiana na Samsung
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

road roller Steam how to build Assembly & RUN you've never seen before
Embark on an unprecedented journey into the heart of road roller steam technology with our groundbreaking video: "Road Roller Steam - How to Build, Assembly & Run Like You've Never Seen Before!" ๐Ÿšœ๐Ÿ’จ

๐Ÿ”ง Discover the secrets behind constructing a road roller steam engine from scratch as we guide you through an innovative and never-before-seen assembly process. Unleash your inner engineer and witness the birth of a powerful machine, step by step.

๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ Our expert-led tutorial goes beyond the ordinary, providing exclusive insights into the intricacies of the assembly process. From choosing the right components to mastering the art of meticulous construction, you're in for an educational and mesmerizing experience.

๐Ÿญ Once the assembly is complete, get ready for the most thrilling part โ€“ the run! ...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Apple Vision Pro Hidden Feature โœˆ๏ธ #protip
It works best on airplanes
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Hard Reset Samsung A14 5g Unlock Pattern PinPassword Galaxy A14 5g Factory Reset
Samsung Galaxy A14 5G Hard Reset Factor
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

INVENTIONS THAT WILL TAKE YOUR CAR TO A NEW LEVEL
Mind Warehouse โ–บ

1) REVENANT B


2) AC Future eTH


3) FlexFix
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

MILITARY INVENTIONS THAT YOU SHOULD SEE
Mind Warehouse โ–บ

1) Mehler Protection ExoM


2) ProApto PREDATOR


3) S
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Make Best ADS With ChatGPT
Creating compelling advertisements can be a game-changer for your business or brand, and with the advent of AI technologies like ChatGPT, it's become more accessible than ever. In this video, we dive deep into how you can leverage ChatGPT to craft the best ads that not only capture attention but also convert viewers into customers.

Whether you're a small business owner, a digital marketer, or simply curious about the potential of AI in advertising, this video is packed with insights, tips, and step-by-step guides to help you create ads that stand out. We'll cover everything from the basics of ChatGPT, how to prompt it effectively for creative ad copies, to integrating these copies into your marketing strategy for maximum impact.

๐Ÿ”ฅ What You'll Learn:

The fundamentals of ChatGPT and how it can revolutionize your ad creation process.

Techniques for prompting ChatGPT to generate creative, engaging, and effective ad copy.

Tips for...
๐Ÿ†• Jeff Bezos ameuza takriban hisa milioni 12 za Amazon wiki hii kwa takriban dola bilioni 2 ambazo ni kama Trilioni 5 za Kitanzania au Bilioni 324 za Kenya, hii ikiwa ni mauzo yake ya kwanza ya hisa za Amazon tangu mwaka 2021.

๐Ÿ”˜ Mauzo haya ni sehemu ya mpango mkubwa, uliofunuliwa katika hati ya kila mwaka ya 10-K ya Amazon, ambayo inamruhusu Bezos kuuza hadi hisa milioni 50 ifikapo Januari 2025.

๐Ÿ”˜ Hatua hii inafuata baa ya uamuzi wa Bezos wa kufanya Miami kuwa makazi yake rasmi, mabadiliko ambayo yanaweza kumpunguzia karibu dola milioni 600 katika gharama za kodi ikiwa atauza idadi kubwa ya hisa chini ya mpango huo. Kwa sababu ya kutokuwepo kwa kodi ya faida ya mtaji huko Florida.

______________
#Amazon #Teknolojia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

5 Useful F-String Tricks In Python
Here are my top 5 most useful f-string formatting tricks that I use everyday in Pytho
๐Ÿ†• Microsoft itaweka sehemu ya kufungua Copilot katika sehemu ya System Tray katika mfumo wa Windows 11.
๐Ÿ†• Pia katika mfumo mpya wa Windows 11; watumiaji wataweza kujiunga kwenye vikao vya Microsoft Teams moja kwa moja kupitia sehemu ya Start Menu

๐Ÿ”˜ Mfumo mpya wa Windows 11 Insider Preview Build 22635.3140 (Beta Channel) umetoka Feb 8. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1756978955469340868#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿ†• Gari ya Audi Q8 e-tron 2024 ina uwezo wa kuonyesha alama ya hatari endapo kama utakuwa unafungua mlango wa gari katika mazingira ambayo sio salama.

๐Ÿ”’ Pia inaweza kuzuia mlango usifunguke ili kuepusha ajali au uharibifu wa mlango. ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Apple Vision Pro is Missing Something...
I already have a wishlist for the next generation Apple Vision Pro

iFixit Tear
Hii ni simu ya VERTU Ascent Ti - ilitoka mwaka 2007.

Ni simu ya kwanza duniani kuwa na frame za titanium, bei yake ilikuwa ni 5530 EUR ambazo ni sawa na Milioni 15.1

Ilikuwa ni luxury phone kwa watu maalum!

๐Ÿ’ก Imagine mwaka 2007 simu ya titanium ina gharama ya Milioni 15; miaka ya 2023 simu za titanium zinaanzia gharama ya milioni 3 na kuendelea.