Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Hizi ndio Kampuni zinazoongoza kwa mauzo ya tablets duniani kwa mwaka 2023:
1️⃣ Apple
2️⃣ Samsung
3️⃣ Lenovo
4️⃣ Huawei
5️⃣ Amazon https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1754917710054535548#m
🆕 Spotify imetoa ripoti zake mpya za idadi ya wasikilizaji na mapato yake katika kufunga ripoti za mwaka 2023.

🔘 Ripoti mpya zinaonyesha kwa sasa, Spotify ina wasikilizaji zaidi ya Milioni 600 kwa mwezi. Idadi ya wasikilizaji ambao wanalipia ni watumiaji Milioni 236 na inazidi kupanda kwa asilimia 15% mwaka hadi mwaka.

🔘 Kwa upande wa mapato, Spotify imeingiza dola Bilioni 3.97 (Tril 10.1 TZS) na katika kiasi hicho imepata faida ya Euro Milioni 32 (Bil 87.5 TZS); lakini imesema imepata hasara ya Euro Milioni 75 katika gharama kubwa za uendeshaji.

🔘 Spotify inashika nafasi ya kwanza kwa idadi kubwa ya wasikilizaji wa miziki na podcasts, katika soko la Music Streaming duniani.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia


Fix iphone iliyo stack haiminyi wala kuzima/how to reboot iphone
🆕 Mwonekano mpya wa simu ya Nothing Phone (2a)

🔘 Mwonekano mpya unaonyesha simu hii haitakuwa na mfumo wa Wireless Charging na LEDs kwenye Glyph interface
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INGENIOUS SPORTING WEAPONS THAT WILL AMAZE YOU
Mind Warehouse ►

1) Classic Army M132 Microgun


2) Airsoft Innova
🆕 Mwonekano mpya wa simu ya Google Pixel 9 Pro

🔘 Google itaweka design ya flat-edges kwenye simu zake, zitakuwa zinafanana na iPhone na Galaxy S24
🆕 Bluesky imeanza kuruhusu watumiaji wote kujiunga kwenye mtandao. Imeacha utaratibu wa kutumia Invite Code

🔘 Imepata watumiaji wapya 850k na ndani ya sekunde 8.5 inapata mtumiaji mpya

🔘 Posts zaidi ya Milioni 2 zimetengenezwa ndani ya masaa 24 https://twitter.com/bluesky/status/1755352957191885064#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Photovoltaic Power Production | A Detailed Course
Hello everyone, please check out my new course on photovoltaic power p
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

LUXURIOUS MOTORHOMES THAT WILL BLOW YOUR MIND
Mind Warehouse ►

1) FURRION ELYSIUM


2) STELLA


3) Lightship
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

ChatGPT Code Interpreter for Non - Programmers
Welcome to our channel! In this video, we introduce you to the revolutionary ChatGPT Code Interpreter designed specifically for non-programmers. Are you intrigued by coding but find it intimidating? Fear not! With ChatGPT's user-friendly interface and intuitive features, you can now effortlessly interpret code without prior programming knowledge.

Join us as we walk you through the functionalities of ChatGPT Code Interpreter, demonstrating how it simplifies complex code snippets into understandable language. Whether you're a student, a professional in a non-technical field, or simply curious about coding, this tool is your gateway to unlocking the secrets of programming without the jargon.

Discover how ChatGPT Code Interpreter empowers you to comprehend algorithms, decipher programming concepts, and even debug scripts ...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

OnePlus 12 Review: Better Than You Think!
Specced to the max and priced to crush.

MKBHD Merch:

OnePlus 12 on Amazon:
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Tim Cook, Afisa Mkuu Mtendaji wa Apple, ametokea katika promo ya Nusu ya Muda - NFL Super Bowl mpya (inayosimamiwa na Apple Music); akiwa amevaa fulana ya Usher (ambaye ndiye ata perform kwenye show) na kufanya mawasiliano ya video call na Ludacris, Lil Jon, na Taraji P. Henson kupitia FaceTime.

🔘 Apple Music inasponsorisha Onyesho lake la Pili la Nusu ya Muda la NFL Super Bowl katika miaka miwili chini ya ushirikiano na Rocnation ya Jay Z.

🔘 Mchezo huo utaanza Jumapili, Februari 11, saa 12:30 jioni saa za Mashariki/9:30 alasiri saa za Pacific lakini kwa muda wa Afrika Mashariki itakuwa saa 8:30 Usiku (2:30AM). Unaweza kuangalia mtandaoni kupitia Paramount+, au kwenye televisheni kupitia CBS; au kupitia YouTube na Apple Music.
📊 Haya ni Magari ambayo yanaongoza kwa kununuliwa na watumiaji wengi nchini Marekani