Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
how to make powerful inverter 3500W , sine wave ,mosfet 40n60
Learn how to make a powerful 3500W inverter with a pure si

Jinsi ya kutengeneza Picha inayoongea, Picha kuwa Video. Fanya picha iongee
Jinsi ya kutengeneza Picha inayoongea, Picha

link:-
https://app.heygen.com
katika video hii utajifunza jinsi ya kufanay picha iongee kupitia Ai toold
"Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya kutumia akili bandia kubadilisha picha iliyosimama kuwa video inayoweza kusema. Angalia jinsi picha zinavyoamka na nguvu ya teknolojia, na ugundue mchakato wa kuvutia wa kutengeneza video yenye harakati kutoka kwenye picha moja. Tumbukia katika ulimwengu wa ubunifu wa AI pamoja nami - ni kama kuleta picha zako kwenye maisha!"

𝗠𝗲𝘀𝘀𝗮𝗴𝗲 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗶𝗹𝗶𝘁𝘂𝗺𝘄𝗮 𝗠𝗶𝗮𝗸𝗮 𝟯𝟭 𝗶𝗹𝗶𝘆𝗼𝗽𝗶𝘁𝗮
Tarehe 3 12 mwaka 2023 Dunia ilikua inasherekea siku ya sms 😁 Miaka 31 iliyopita ilikua sio jambo la mchezo mchezo kutuma sms
Mpaka Leo @prossoff anachati na watoto wazuri haikua jambo jepesi

🆕 Tayari kuna baadhi ya screenshots zinaonyesha Google imeanza kusema Bard itakuwa inaitwa Gemini. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1754470361633055057#m
🚨 Kama unatumia app ya AnyDesk hakikisha ume-update app yako na kufuta vifaa vyote ambavyo umeunganisha kisha unganisha upya!
🚨 AnyDesk imepata shambulio la ransomware kwenye mfumo wake wote.
Official Statement:
https://anydesk.com/en/public-statement

🆕 Meta imetoa ripoti mpya ya kuonyesha faida, mauzo na idadi ya watumiaji wake katika platform zake.
🔘 Licha ya kuwa watu wengi wana mtazamo kuwa umaarufu wa Facebook unapungua, ripoti bado zinaonyesha idadi mpya ya watumiaji wa Facebook inaongezeka na bado ni mtandao unaoongoza duniani kwa kuwa na watumiaji wengi sana.
🔘 Daily Active Users (DAUs) wa Facebook kwa sasa wanafika Bilioni 2.1 - hawa ni watu ambao wanaitumia Facebook kila siku. Idadi ya watumiaji ambao wanatumia FB kwa mwezi inafika wastani wa watumiaji Bilioni 3.
🔘 Asilimia kubwa ya watumiaji wa Facebook wanatoka Asia Pacific na maeneo mengine nje ya Ulaya, Marekani na Canada.
🔘 Kwa upande wa mapato, Meta iliingiza dola bilioni 40 kwa robo, ikileta jumla yake kuwa dola bilioni 134 kwa mwaka.
🔘 Mapato ya matangazo ya Meta katika robo ya nne yalikuwa dola bilioni 38.7, ikiongezeka kutoka dola bilioni 31.2 mwaka mmoja uliopita.

hivyo watumiaji wake watalazimika ku login Tena na kuweza kubadili password kwa usalama wa data zao japo hawajapata malalamiko yoyote juu ya mtu au watu kuwa wamedukuliwa taarifa zao.
Tembelea tovuti yao kwa taarifa zaidi 👉 https://anydesk.com/en/public-statement

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
How to use: "Never" & "NoReturn" in Python (Tutorial)
In Python we have 2 type annotations that are incredibly similar.

SATISFYING VIDEOS OF WORKERS WHO DO THEIR JOB PERFECTLY
Mind Warehouse ►
For copyright matters please contact us at:

#NK| Jinsi ya kuandika bila ya kutazama Keyboard |#typing

---