Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Single phase 220V electric meter From Temu I bought it 3,48€ How is This POSSIBLE?
Download the Temu app via the link:
U
🆕 WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuweka mfumo ambao unafanana na AirDrop na Quick Share.

🔘 Watumiaji wa WhatApp watakuwa na uwezo wa kutuma files kwenda kwa mtumiaji mwingine ambaye anatumia WhatsApp.

🔘 Utaweza kutuma picha bila kulazimika kuhifadhi namba yake na inaoenakana watumiaji watakuwa wanatingisha simu (shake) ili kuwasha uwezo huu. Pia ukituma file utatakiwa kusogeza simu yako karibu na simu ya mtu mwingine ambaye unamtumia.

🔘 Pia mfumo wa kutuma bado utakuwa unatumia mfumo wa end-to-end encryption hivyo hakuna mtu wa karibu ambaye ataweza kuona file ambalo unatuma.
🆕 Apple imeuza Vision Pro - takribani 180,000 mpaka sasa!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno Pop 7 Pro Hard Reset Tacno BF7h PinPattern Lock Remove With Pc
How to reset Tecno Pop 7 Pro - Factory reset and er
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 INGENIOUS INVENTIONS FOR WINTER CAMPING
Mind Warehouse ►

1) Wilcraft


2) Yetti Fish House


3) Dipstick


4
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

What is Auto-GPT? Explained
🔍 Dive into the world of AI with our comprehensive guide to Auto-GPT! 🤖

Auto-GPT is revolutionizing the way we interact with artificial intelligence, and this video is your key to understanding how it works. Whether you're a tech enthusiast, a professional looking to streamline your workflow, or simply curious about the future of AI, this video has something for everyone.

The basics of Auto-GPT and its place in the AI landscape.
How Auto-GPT differs from other AI models and its unique features.
Real-world applications of Auto-GPT that are changing industries.

Subscribe to our channel for more insights into AI and stay ahead of the tech curve. Hit the bell icon to get notified about our latest uploads!

#AutoGPT #ArtificialIntelligence #MachineLearning #TechExplained #AIRevolution #FutureTech #Innovation #AITrends
🆕 Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 17.3 katika simu zote za iPhone ambazo zina uwezo wa kupata mifumo mipya ya simu.
🔘 Apple imeweka sehemu mpya ya Stolen Device Protection: sehemu hii itazuia mwizi asiweze kubadili Apple ID hata endapo kama akifanikiwa kufahamu Passcode yako. Mwizi atalazimika kuwa na Face ID au Touch ID yako na Passcode kwa pamoja. Pia mtu hataweza kubadili Apple ID mpaka lisaa liishe baada ya kuomba kuibadili.
🔘 Lock Screen ya iPhone imeongezewa Wallpaper mpya za kuenzi historia na utamaduni wa watu weusi. Wallpaper mpya zinatumia rangi za Unity (Kijani, Nyeusi na Nyekundu).
🔘 Apple Music imeanza kuwa na sehemu ya reactions katika playlists