๐ Apple inajipanga mwaka huu iweka juhudi kuhakikisha inabadilisha mfumo wa Siri na kuweka uwezo mkubwa wa Akili Bandia.
๐ Apple bado ipo nyuma katika kuunganisha mfumo wa Akili Bandia katika mfumo wa Siri. Sasa hivi ushindani umekuwa mkubwa mfano ChatGPT inaweza kutumika kama Siri na ukafanya nayo mazungumzo na ikajibu maswali magumu.
๐ Mwaka huu Apple inataka kutambulisha mfumo mpya wa Siri 2.0 katika WWDC mwezi wa 6 mwaka huu.
๐ Tetesi zinaonyesha Siri itakuwa na mfumo mkubwa wa Akili Bandia kama ChatGPT, Bard, Galaxy AI, Bing na Copilot.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
ROG Phone 8 Review: We're Going Mainstream!
The flagship gaming phone has made some key changes this year for a high pri

๐ TikTok inaanzisha sehemu mpya ya "Agency Official Account"
๐ Hii ni sehemu ya akaunti ambazo ni akaunti za biashara zilizoundwa na kutumiwa na wakala kwa ajili ya kutafuta wabunifu mtandaoni.

Simu ya Samsung Galaxy A35 imeonekana kwenye Geekbench ikiwa na chip ya Exynos 1380
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
20 COOL TOOLS YOU SHOULD KNOW ABOUT
Mind Warehouse โบ
1) Laguna PiBurn
2) Gude RFP Garden Machine
3) TUBELESS
20 COOL TOOLS YOU SHOULD KNOW ABOUT
Mind Warehouse โบ
1) Laguna PiBurn
2) Gude RFP Garden Machine
3) TUBELESS
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐ YouTube imeweka njia rahisi ya kubadilisha video zako kuwa Shorts.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
How to Unlock FRP on TECNO Pop 7 Bypass Google Account Verification Remove FRP
#google #frp #googleplay #tecnopop 7
Tecn

๐ Katika ripoti mpya, kampuni ya Transsion ( ambayo inazimiliki Tecno, itel, Infinix, Oraimo, Scooper, Syinix na Carlcare) imeitoa kampuni ya Vivo katika Top 5 https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1747309574497894764#m