Sifa mpya za Samsung Galaxy S23 Ultra
β¨ Generative AI - Pixel tayari ina uwezo huu
π 5x telephoto - iPhone tayari inayo
π 2600 nits - Oppo ipo kwenye 4600 nits
π± Flat display - iPhone na Google Pixel tayari zinatumia style hii
πͺ¨ Titanium frames - tayari ipo kwenye iPhone

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
β‘οΈ Mercedes zikionyesha uwezo wake wa 360-turn katika gari mpya ya G Wagon ya umeme
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
π YouTube itazidi kuweka ugumu kwa watumiaji ambao wanatumia AdBlocks
π YouTube itakuwa inafunguka taratibu sana na kuzidi kuweka ugumu kwa watu ambao wanazuia matangazo kwa kutumia AdBlocks

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
25 GADGETS THAT ARE AT ANOTHER LEVEL
Mind Warehouse βΊ
1) The Minimal Tag
2) Mishatu Voyager Smart Suitcase
3)
25 GADGETS THAT ARE AT ANOTHER LEVEL
Mind Warehouse βΊ
1) The Minimal Tag
2) Mishatu Voyager Smart Suitcase
3)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
Create amazing electronic projects , Top 4 simple oscilloscope projects
Do you want to learn how to make a mini oscillos

π Mwezi huu Instagram imeanza kubadilisha mwonekano wa fonts (herufi na maneno) katika app yake.
Mwaka jana Instagram ilisema kuwa itabadilisha Fonts zake zitakuwa βInstagram Sansβ. Hizi ni fonts maalum za Instagram na utagundua tangu app ya Thread ilipoanza ilikuwa inatumia style hii ya fonts na mfano @ inatumia style ya logo ya Threads.

π Apple inajipanga mwaka huu iweka juhudi kuhakikisha inabadilisha mfumo wa Siri na kuweka uwezo mkubwa wa Akili Bandia.
π Apple bado ipo nyuma katika kuunganisha mfumo wa Akili Bandia katika mfumo wa Siri. Sasa hivi ushindani umekuwa mkubwa mfano ChatGPT inaweza kutumika kama Siri na ukafanya nayo mazungumzo na ikajibu maswali magumu.
π Mwaka huu Apple inataka kutambulisha mfumo mpya wa Siri 2.0 katika WWDC mwezi wa 6 mwaka huu.
π Tetesi zinaonyesha Siri itakuwa na mfumo mkubwa wa Akili Bandia kama ChatGPT, Bard, Galaxy AI, Bing na Copilot.

ROG Phone 8 Review: We're Going Mainstream!
The flagship gaming phone has made some key changes this year for a high pri

π TikTok inaanzisha sehemu mpya ya "Agency Official Account"
π Hii ni sehemu ya akaunti ambazo ni akaunti za biashara zilizoundwa na kutumiwa na wakala kwa ajili ya kutafuta wabunifu mtandaoni.

Simu ya Samsung Galaxy A35 imeonekana kwenye Geekbench ikiwa na chip ya Exynos 1380