Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.71K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 App ya Copilot imeanza kupatikana kwa watumiaji wote wa Android na iOS - kwa Afrika Mashariki.

🔘 App hii ilipoanza kutoka ilikuwa bado haipatikani Afrika Mashariki. Sasa watumiaji wote wameipata.

🔘 Ni app ambayo unaweza kutumia ChatGPT 4 bure bila kulipia.
🆕 Mwonekano mpya wa Honor Magic6 Pro
🆕 Poster za Galaxy S24 Ultra zimeanza kuonekana katika maduka ya Samsung nchini Brazil.

🔘 Samsung itaweka Galaxy AI katika simu ya Galaxy S24 Ultra. Itakuwa ni simu ambayo ina uwezo mkubwa sana katika kazi za Akili Bandia
Bitcoin 1 imefikia thamani ya Milioni 113.4 TZS (45,000$)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🔘 Pia imeweka effect mpya ya Thanos Snap Effect ukiwa unafuta message
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Telegram imebadili mwonekano wa sehemu ya voice na video call, rangi na design zake.

🔘 Telegram imesema imeboresha ubora wa sauti na video kwenye calls
xshare_3_7_0_001.apk
42.8 MB
xshare_3_7_0_001.apk
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 COOL INVENTIONS FOR YOUR GARAGE
Mind Warehouse ►

1) Bapro Dyno






2) BluCave








3) SVENTEC R
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Edit Your Custom GPTs
🚀 Unlock the full potential of AI with our step-by-step guide on "How to Edit Your Custom GPTs"! Whether you're a developer, a data scientist, or an AI enthusiast, this video is your gateway to mastering GPT customization. 🤖

In this tutorial, we'll cover:

The basics of Generative Pre-trained Transformers (GPT)
How to personalize your GPT models for specific tasks
Tips and tricks for fine-tuning your custom GPTs to perfection

🔍 What you'll learn:

Understanding the architecture of GPT models
Implementing custom prompts and responses
Techniques for training your GPT on unique datasets
Best practices for maintaining and updating your models

🛠️ Equip yourself with the knowledge to edit and tailor your GPTs to your needs. From chatbots to content creation, the...
🆕 Baidu imevunja mkataba wa dola za Kimarekani bilioni 3.6 wa kuinunua YY Live ambayo ni Live Streaming platform ya China inayomilikiwa na kampuni ya Joyy.

🔘 Sababu kuu ni kibali cha udhibiti hakikupatikana katika kuruhusu Baidu kuinunua YY Live.
xshare_3_7_0_001.apk
42.8 MB
xshare_3_7_0_001.apk
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno BG6 Spark Go 2024 Frp Bypass Android 13 Without X Share
tecno spark go 2024 frp bypass,tecno frp bypass android 13
Waiting for instantView...