Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.71K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

UNDERGROUND INVENTIONS YOU SHOULD SEE
Mind Warehouse ►

1) Loo Gardens





2) IDS GeoRadar HYDRA-U

+
2.1) Tilt
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kurejea CODE katika lugha C - LOOP | 7 | #nk
Jinsi ya kurejea CODE katika lugha C - LOOP | 7 | #nk

Link ya Gr
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

A Beginner’s Guide to Using the ChatGPT API in 2024
Dive into the world of AI programming with our comprehensive tutorial on the ChatGPT API! 🚀 Whether you're a budding developer or just curious about the capabilities of AI, this beginner-friendly guide for 2024 is your perfect starting point.

In this video, we'll cover:

The basics of the ChatGPT API and how it can revolutionize your projects
Step-by-step instructions on setting up your first API call
Tips and tricks for integrating ChatGPT into your applications
Best practices for using the API efficiently and effectively
We understand that starting with a new API can be daunting, which is why we've designed this guide to be as accessible and informative as possible. By the end of this video, you'll have a solid understanding of how to harness the power of ChatGPT to create dynamic and intelligent interactions i...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

1000W Portable Power Station Pure Sine Inverter up to 1008Wh Power , RX1000
ROMOSS X1000 , Expandable to 16kWh 4000W|1h
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

A032F Samsung A03 Core Frp Bypass Without PC
samsung a03 core frp bypass without pc,samsung a032f frp bypass,samsung a03
🆕 Telegram imeweka uwezo wa kuweka “scheduled posts” kwenye Telegram Channels.

🔘 Watumiaji wanaweza kuamua post ijiweke kwenye Channel katika muda na siku ambayo wanachagua wenyewe.
🆕 TikTok imeanza majaribio ya kuweka Creator Center kwa watumiaji wa kompyuta.

💡 Itakuwa ni rahisi sana kusimamia akaunti za TikTok kwa kutumia kompyuta.
Kampuni ya Motorola imetoa simu mpya ya Moto G34. Ni simu ya kulenga soko la simu za bei ndogo.

𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙯𝙖𝙠𝙚 𝙠𝙬𝙖 𝙪𝙛𝙪𝙥𝙞:

📱 6.5’’, 720 x 1600 pixels, 120Hz
🧠 Snapdragon 695 5G (6 nm)
💾 128GB 8GB RAM
📲 Android 13
📸 Wide 50MP, Macro 2MP, Selfie 16MP
📹 1080p/30fps
🔋 5000mAh
⚡️ Inachaji 18W kwa waya
📶 5G, Dual SIM, Wi-Fi, Bluetooth
Mtandao wa Bluesky umefanya mabadiliko makubwa.

🔘 Bluesky imebadilisha logo yake na kutumia logo ya Kipepeo 🦋 na rangi ya Blue. CEO wa Bluesky amesema alama ya kipepeo inamaanisha mageuzi makubwa na kuwa huru.

🔘 Sasa watumiaji wanaweza kutazama posts za bluesky bila kulazimika kuingia kwenye akaunti.

🔘 Post zake zinaweza kuwekwa kwenye Website na zitaonekana kwa watazamaji wote.

🔘 Pamoja na maboresho ya kuboresha speed na mfumo wake.
🆕 Ukitumia app ya Threads katika Dark-Mode inaweka effects za snowfall 🌨️ katika upande wa juu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jinsi ya kufuatilia simu ya mpenzi wangu....We can not answer this question because it is against tiktok community guidelines and standards since it promotes cyber crimes....but also our country laws do not allow this but also teaching this its so dangerous to our health as well as our relationship ..#hacking#tracking#phome#kudukua#trendings #foryoupage #fyyyyyyyyyyyyyyyy #tiktoktanzania #tiktokkenya #tiktokkenya #tiktok #happynewrear #happynewyear2024
🆕 Microsoft Edge imetambulisha uwezo wake mpya wa “Super Drag Drop”

💡 Ni njia mpya ya kufungua tabs kwa kutumia Mouse kwa njia rahisi. Unaweza kufungua links, picha au texts kwa kuzibeba na kuziweka kwenye Website Bar au katika alama ya kufungua tabs mpya.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

#tricks from future | Tengeneza Touch Screen button ya kuwashia computer
#tricks from future | Tengeneza Touch Screen bu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to use ChatGPT's new “Code Interpreter” feature
🚀 Dive into the future of coding with ChatGPT's latest feature - the "Code Interpreter"! In this comprehensive tutorial, we'll guide you through every step of utilizing this powerful tool to streamline your coding process. Whether you're a seasoned developer or just starting out, you'll learn how to leverage ChatGPT to write, debug, and optimize your code like never before. 🛠️

🔍 What You'll Learn:

The basics of ChatGPT's "Code Interpreter" feature.
How to integrate the feature into your existing coding workflow.
Tips and tricks for getting the most out of ChatGPT's AI capabilities.
Real-world examples of the "Code Interpreter" in action.

💡 Why Watch This Video?

Stay ahead of the curve in the evolving world of AI-assisted coding.
Improve your coding efficiency and reduce errors with AI insights.
Discover how to make ChatGPT a valuable part of your development toolkit...