Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.71K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ†• ChatGPT imeachia mfumo wa Sauti kwa watumiaji wote hata wale ambao wanaitumia bila kulipia.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mfano wa namna ambavyo Akili Bandia ya Instagram itafanya kazi katika kutengeneza background za picha.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ”₯ Video ya Akili Bandia na mfumo wa Roboti zinavyotumika kwenye jiko la mgahawa ambao unatengeneza Burger πŸ”

🦾 Mfumo wake unaweza kutambua nyama imeiva, kukaanga chips na kufahamu kama zimeiva vizuri.

Inaweza kupanga viungo vya barger na kukamilisha hatua zote za mapishi na kuandaa Burger kama mwanadamu.
πŸ†• LinkenIn inafanya majaribio ya kuweka short-form video kama TikTok.

πŸ”˜ Zitakuwa zinasaidia kutoa tips kwa members na wataalam mbalimbali kuelezea ujuzi wao.

πŸ”˜ Majaribio haya yameanza katika app ya LinkedIn Learning kabla ya feeds za LinkenIn hazijaanza kubadilika na kuwa na mfumo huu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Tecno BG6 Spark Go 2024 Hard Reset Latest Patch!!
Tecno bg6 spark go 2024 hard reset latest patch, TECNO Spark Go 2024 H
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

How do Video Game Graphics Work?
Go to for a 30-day free trial and expand your knowledge. The first 200 people will get
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Honestly, thank you.
Link for discounted Python courses:

Thank you guys all so much for helping me reach 100K!!! I tru
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Tecno Spark Go 2024 Google Account Android 13 New Trick Tecno BG6 FRP Bypass
#tecnosparkgo2024#frpbypass #bg6
Tecno Spar
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Creating Custom GPTs: API Key For Custom Actions
Unlock the full potential of AI in your projects with our latest tutorial on "Creating Custom GPTs: API Key For Custom Actions". Dive into the world of artificial intelligence and learn how to tailor GPT models to your specific Unlock the full potential of AI in your projects with our latest tutorial on "Creating Custom GPTs: API Key For Custom Actions". Dive into the world of artificial intelligence and learn how to tailor GPT models to your specific needs. Whether you're a developer, a data scientist, or just an AI enthusiast, this video will guide you through the process of generating an API key and implementing custom actions to enhance your GPT's capabilities.

πŸ”‘ What you'll learn:

Step-by-step instructions on creating your own custom GPT
How to secure and use an API key for your custom AI model
Best practices ...
πŸ†• Mradi wa Hyperloop One unafungwa!

πŸ”˜ Hyperloop One ni mradi ambao ulikuwa unalenga kuunganisha treni maalum ambazo zina speed kutoka Ulaya kwenda China kwa kutumia teknolojia maalum ambayo ina speed kubwa sana!

πŸ”˜ Mradi huu ulianzishwa mwaka 2024; baada ya Elon Musk kutoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa hyperloop unavyoweza kuboresha teknolojia ya speed kubwa.

Sababu: Changamoto za kifedha na gharama
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

"Power Station Review" Usiogope MGAO wa UMEME
#snashtz #technology #powerstation
"Power Station Review" Usiogope MGAO wa UMEME
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Asante sana Team nzima ya @photonsenergy_ltd">@photonsenergy_ltd kwa kunipa nafasi hii kua sehemu ya Team Kubwa ya Ushindi iliyofanikiwa kuchukua β€œawards” nne tofauati hii ni kubwa sana @photonsenergy_ltd ushindi uendelee
channels4_profile.jpg
1.8 KB
New subscription on YouTube: mtelafr beats
πŸ†• Instagram inafanya mabadiliko katika mwonekano wake: kwenye vifaa ambavyo vinatumia screens kubwa - tablets na folding phones.
πŸ†• Mradi wa Hyperloop One unafungwa!

πŸ”˜ Hyperloop One ni mradi ambao ulikuwa unalenga kuunganisha treni maalum ambazo zina speed kutoka Ulaya kwenda China kwa kutumia teknolojia maalum ambayo ina speed kubwa sana!

πŸ”˜ Mradi huu ulianzishwa mwaka 2014; baada ya Elon Musk kutoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa hyperloop unavyoweza kuboresha teknolojia ya speed kubwa.

Sababu: Changamoto za kifedha na gharama