This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
I Didn't Know Python Allowed THIS Syntax
This is honestly probably the craziest syntax I've ever used in Python to achie

π Kuanzia mwisho wa wiki hii, kampuni ya Apple inasitisha kuuza Apple Watch Series 9 na Apple Watch Ultra 2.
π Baada ya saa 3 jioni saa za Mashariki mwa Marekani siku ya Alhamisi, Desemba 21, hutaweza tena kuagiza Apple Watch Ultra 2 na Apple Watch Series 9 kupitia tovuti ya Apple nchini Marekani. Katika maduka makubwa ya Apple, kuanzia Desemba 24.
π Hii inatokana na uamuzi wa Tume ya Biashara ya Kimataifa (ITC) katika mzozo wa muda mrefu wa hati miliki kati ya Apple na kampuni ya Masimo ambayo inahusika katika teknolojia za kiafya. Sababu kubwa ni kuhusu teknolojia ya sensa ya oksijeni ya damu katika saa za Apple Watch.
π Kampuni ya Masimo imeishtaki Apple kuiba hati miliki za sensor za kupima kiasi cha Oxygen kwenye damu.
π Tume ya Biashara ya Kimataifa ilitangaza uamuzi wake mnamo Oktoba, ikithibitisha uamuzi wa hakimu wa Januari. Hii itapeleka kesi hiyo kwa Rais Biden kwa Muda wa Ukaguzi wa Rais wa siku 60.
βοΈ Katika mchakato huu, Rais Biden anaweza kupinga uamuzi huo, ...
View original post

Itel A18 Factory Reset Password Remove
factory reset,itel factory reset,itel hard reset password 2023,itel a512w hard re

HIVI UNAJUA NI KWANINI HAKUNA IPHONE 9? NA KWANINI SI SAWA KUNUNUA IPHONE X KWA SASA.
#iPhone #iphonexrpropubgtest #bongo #simu #iphonexr #arusha #doctor

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
Smartphone Awards 2023!
The best smartphones of 2023!
MKBHD Merch:
Tech I'm using right now:
Intro Track:
Playlist
Smartphone Awards 2023!
The best smartphones of 2023!
MKBHD Merch:
Tech I'm using right now:
Intro Track:
Playlist
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
Hard Reset SAMSUNG Galaxy A3 Core- No Factory Reset Option Fix!!
#HardReset #A032f #factoryreset
SAMSUNG Galaxy A3 Core

Kwanini Hakuna iPhone 9? Full Video ipo Kwenye Youtube Ya Si...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
Jifunze coding lugha C | 7 | #nk
Jifunze coding lugha C | 6 | #nk
Link ya mtandao:
------
Link ya Group la Coding Cam
Jifunze coding lugha C | 7 | #nk
Jifunze coding lugha C | 6 | #nk
Link ya mtandao:
------
Link ya Group la Coding Cam
Sifa Za Infinix HOT 40 Pro, Hizi Hapa!
https://teknolojia.co.tz/sifa-za-infinix-hot-40-pro-hizi-hapa/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=sifa-za-infinix-hot-40-pro-hizi-hapa

TeknoKona Teknolojia Tanzania
Sifa Za Infinix HOT 40 Pro, Hizi Hapa!
Baada ya uzinduzi mkubwa wa simu aina ya Infinx Hot 40 Pro na Hot 40i kufanyika nchini nimeona nikuletea uchambuzi wa moja kati ya simu hizi ambayo nimefanyia u
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
EXTREME INVENTIONS THAT WILL SURPRISE YOU
Mind Warehouse βΊ
1) Phoenix Fly
2) Zapata Flyboard Air
EXTREME INVENTIONS THAT WILL SURPRISE YOU
Mind Warehouse βΊ
1) Phoenix Fly
2) Zapata Flyboard Air
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
Become a Data Analyst using ChatGPT!
Are you ready to take your data analysis skills to the next level? Look no further! In this exciting tutorial, we'll explore how you can harness the power of ChatGPT to become a proficient Data Analyst.
π What's Inside?
π Master Data Analysis Techniques: Learn essential data analysis techniques that will empower you to make informed decisions.
π€ Unleash ChatGPT for Data Insights: Discover how ChatGPT, the cutting-edge language model, can assist you in extracting meaningful insights from your datasets.
π οΈ Hands-On Practice: Follow along with our step-by-step guide and get hands-on experience applying ChatGPT to real-world data scenarios.
π Build Your Portfolio: Enhance your professional portfolio by showcasing your newfound skills in data analysis using ChatGPT.
π Who is this For?
Whether you're a beginner in data ana...

Meta imeanza kufanya majaribio ya kuweka mfumo wa kutengeneza background za picha kwa kutumia Akili Bandia.
Meta imeanzisha mfumo mpya ambao unaitwa Backdrop kwa watumiaji wa Marekani, kabla ya kuachia mfumo huu kwa watumiaji wote baada ya kufanyiwa majaribio.
Mfumo wa Backdrop utasaidia watumiaji wa Instagram kutengeneza backdround za picha kwa kutumia Akili Bandia. Mfano unaweza kucheck kwenye video kwenye comments.
Ukiweka picha yako kwenye Insta Story, ukituma kwenye DM au kwenye Post; itaongezeka option ya kubadilisha background ya picha. Utaandika background ambayo unaitaka na AI itatengeneza (generate) aina mbalimbali za Background.
Hizi ni feature ambazo hazikupaswa kuwepo kwenye Instagram, zilipaswa kuwepo kwenye apps za ku-edit picha. Meta ipo kwenye stress ya kushindana na Canvas, InShot, Unfold, na CapCut.