Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.71K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

FAHAMU SIMU ZILIZOWAHI KUTUMIWA NA MASTAA MBALIMBALI DUNIANI NA UWEZO WAKE WA KUFANYA KAZI
#iphone #tanzania #simu #daressalaamtanzania
🆕 Google itabadilisha namna ambayo inahifadhi kumbukumbu za maeneo ya watumiaji ndani ya Google Map, ili kuweka ugumu kwa mamlaka kupata data hiyo.

🔘 Mabadiliko haya yanalenga kushughulikia masuala ya faragha na kupunguza matumizi ya 'amri za uzio wa eneo' zinazojadiliwa sana na vyombo vya sheria.

🔘 Mabadiliko haya yataanza taratibu katika mwaka ujao, na watumiaji watakuwa na udhibiti zaidi wa data zao za historia za maeneo yao.
[Tips] How to embed X, Instagram, TikTok videos on Telegram

• X (Twitter)
Change x.comfixupx.com or fixvx.com in your link
Change twitter.comfxtwitter.com or vxtwitter.com in your link

• X (Twitter) on Instant View
Change x.comi.fixupx.com in your link

• Instagram
Change instagram.comddinstagram.com in your link

• TikTok
Change tiktok.comvxtiktok.com in your link

Note: some links may not work
More Info: fixupx.com, fixvx.com, ddinstagram.com, vxtiktok.com

@Telegram #tips
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Edit picha yako iwe na muonekano kam huu uliojificha katika mazingira!
katika video hii utajifunza jinsi ya ku edit pich
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jifunze coding lugha C | 6 | #nk
Jifunze coding lugha C | 6 | #nk

Link ya mtandao wa mwanzo:
Link ya mtandao wa pili
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Build Your Personal GPTs: From Zero to AI Hero
🚀 Unlock the world of Artificial Intelligence with our latest video guide: "How to Build Your Personal GPTs: From Zero to AI Hero"! 🤖

Are you ready to embark on a journey into the fascinating realm of AI development? Look no further! In this comprehensive tutorial, we'll guide you step-by-step through the process of creating your very own Generative Pre-trained Transformer (GPT) from scratch.

🔧 What You'll Learn:

Setting up the development environment: Discover the essential tools and resources you need to kickstart your AI project.

Understanding GPT architecture: Unravel the intricacies of Generative Pre-trained Transformers and grasp the fundamentals of their functioning.

Coding your GPT: Dive into practical coding sessions as we walk you through the implementation process, making complex concepts easy to understand.

Training your model: Learn the art of training your...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno Spark 10cK15k FRP Bypass NEW METHOD 2023 Android 12
#Tecnospark10c #k15k #frpbypass
Tecno spark 10ck15k frp bypas
🆕 Tetesi mpya zinaonyesha kampuni ya Samsung itaendelea na mwonekano wa simu za Galaxy S Series mpaka mwaka 2025. Mabadiliko makubwa katika mwonekano wake yataanza 2026!

🔘 Mwaka 2026, Samsung itabadilisha design ya simu zake zote na kuboresha design kwa ukubwa. Pia Samsung inapanga kuwekeza katika simu ambayo itashindana na iPhone Pro.

🔘 Mpaka sasa Samsung haina simu ambayo ni mshindani mkubwa wa iPhone Pro. Simu ambayo inakuwa na uwezo mkubwa ni S Ultra (inch 6.8) ambayo mshindani wake mkubwa ni iPhone Pro Max (inch 6.7) na sio iPhone Pro (inch 6.1).

🔘 Samsung inapanga kujaribu kutoa simu ambayo itakuwa na umbo dogo kuliko S Ultra lakini itakuwa na uwezo na design ya S Ultra.

🔘 Tetesi zinaonyesha Galaxy FE (inch 6.4) ndio ambayo itakuwa kama Galaxy S-Ultra lakini katika umbo dogo size ya iPhone Pro.

🔘 Kwa upande mwingine kuna tetesi ambazo zinasema Samsung inapanga kuunda Galaxy Fold Lite ambayo itakuwa ni simu aina ya Fold ambayo bei yake itakuwa ya chini kidogo.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kawasaki KXF250 Review / Haina FUNGUO
#snashtz #bike #motorbike
Kawasaki KXF250 Review / Haina FUNGUO

Bike Driver
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kawasaki #kawasaki KXF250 Full Video Youtube, Special Thanks...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

The Creator Review, 2023 Movie (in Swahili)
#snashtz #movies #thecreator
The Creator Review, 2023 Movie (in Swahili)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi mitambo inavyowekewa code|#nk
Hivi ndivyo mitambo inavyowekewa code #nk
-----------

-----
- Channel yetu mpya ya
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

HIDDEN PLACES YOU SHOULDN’T HAVE SEEN
Mind Warehouse ►

1) Movable Spaces Safe


2) Balzblock Tresor




3) Fas1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Use ChatGPT for Coding
🚀 Unlock the power of ChatGPT for coding mastery! 🖥️ In this comprehensive tutorial, we dive deep into the exciting world of using ChatGPT, a revolutionary language model, to enhance your coding skills and streamline your programming experience.

🔍 What's Covered:

🌐 Introduction to ChatGPT: Get acquainted with ChatGPT and discover how it can become your coding companion. Learn about its capabilities and how it can assist you in various programming tasks.

💻 Setting Up ChatGPT: Follow our step-by-step guide to seamlessly set up ChatGPT for coding on your preferred platform. Whether you're a beginner or an experienced coder, we've got you covered.

🤖 Coding Assistance: Explore the different ways ChatGPT can assist you in writing code more efficiently. From generating code snippets to debugging tips, uncover the tools that will take...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

I Didn't Know Python Allowed THIS Syntax
This is honestly probably the craziest syntax I've ever used in Python to achie
🆕 Kuanzia mwisho wa wiki hii, kampuni ya Apple inasitisha kuuza Apple Watch Series 9 na Apple Watch Ultra 2.

🔘 Baada ya saa 3 jioni saa za Mashariki mwa Marekani siku ya Alhamisi, Desemba 21, hutaweza tena kuagiza Apple Watch Ultra 2 na Apple Watch Series 9 kupitia tovuti ya Apple nchini Marekani. Katika maduka makubwa ya Apple, kuanzia Desemba 24.

🔘 Hii inatokana na uamuzi wa Tume ya Biashara ya Kimataifa (ITC) katika mzozo wa muda mrefu wa hati miliki kati ya Apple na kampuni ya Masimo ambayo inahusika katika teknolojia za kiafya. Sababu kubwa ni kuhusu teknolojia ya sensa ya oksijeni ya damu katika saa za Apple Watch.

🔘 Kampuni ya Masimo imeishtaki Apple kuiba hati miliki za sensor za kupima kiasi cha Oxygen kwenye damu.

🔘 Tume ya Biashara ya Kimataifa ilitangaza uamuzi wake mnamo Oktoba, ikithibitisha uamuzi wa hakimu wa Januari. Hii itapeleka kesi hiyo kwa Rais Biden kwa Muda wa Ukaguzi wa Rais wa siku 60.

⌚️ Katika mchakato huu, Rais Biden anaweza kupinga uamuzi huo, ...

View original post