Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Tangazo hili limevuma wiki hii na kusababisha watu wengi kuona tangazo hili halikuwa na umakini; na Samsung inafuta details za vifaa vya kampuni pinzani kama vile Apple katika picha zake.

Samsung ilikuwa inatangaza SSD zake, lakini design wake alisahau ku-edit keyboard ya kumpyuta iliyotumika kwenye picha isionekane ni MacBook.

Upande wa kushoto ina alama ya Windows lakini upande wa kulia baada ya Space walisahau kufuta alama za Keys za MacBook.
OnePlus Open na OnePlus Pro katika upande wa kamera.
Mark Zuckerberg anajenga nyumba na Bunker kubwa ya kuishi chini ya ardhi katika visiwa vya Hawaii.

Ujenzi wake unakadiriwa kugharimu zaidi ya Dola Milioni 100.
πŸ“Š Baada ya dunia kuingia katika Karne ya Mitandao ya kijamii, asilimia kubwa ya watu waliopo katika mahusiano wamekutana MTANDAONI

πŸ’‘ Zile zama za miaka ya kukutana mashambani, kazini, vyuoni, na mitaani - zimepungua sana baada ya zama za mitandao kuingia...
πŸ†• Apple imerekebisha madhaifu ya iPhone kupata crash kwa kudukuliwa na Flipper Zero.

Katika iOS 17.2 - Flipper haiwezi kushambulia mfumo wa Bluetooth ya iPhone
πŸ†• Apple imetoa onyo kwa watumiaji wa Apple Watch ambao wanatumia chaja ambazo sio original.

https://support.apple.com/en-us/HT213854
Picha zaidi πŸ‘‡πŸΌ
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

21 COOL GADGETS THAT WILL PROTECT YOUR CAR
Mind Warehouse β–Ί

1) HailSuit
(preview)



2) Rimgard





3) Purp
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Alternative heating method in natural gas crisis, diesel heating system, VEVOR
They banned my super cheap heating! Free
πŸ†• Nothing OS 2.5 πŸ†•
πŸ†• Kampuni ya Nothing imetoa mfumo mpya wa Nothing OS 2.5 na Android 14 kwa watumiaji wote wa simu za Nothing 2.

π™Όπšπšžπš–πš˜ πš–πš™πš’πšŠ 𝚠𝚊 πšœπš’πš–πšž 𝚣𝚊 π™½πš˜πšπš‘πš’πš—πš πšžπš—πšŠ πš–πšŠπš‹πšŠπšπš’πš•πš’πš”πš˜ 𝚒𝚊𝚏𝚞𝚊𝚝𝚊𝚒𝚘.

β—‰ Sehemu ya kutengeneza Lock Screen na Home Screen imefanyiwa maboresho

β—‰ Wallpapers mpya na styles mpya

β—‰ Widgets mpya za Pedometer, Media Player na Screen Time.

β—‰ Maboresho katika Glyph Timer na animations mpya

β—‰ Sehemu mpya ya kuongeza sauti

β—‰ Style mpya za kupiga na ku-edit screenshots

β—‰ App ya Camera imeboreshwa stability

β—‰ Maboresho katika speed na performance

β—‰ Maboresha ya kiusalama katika mfumo mpya wa Android 14
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

21 COOL GADGETS THAT WILL PROTECT YOUR CAR
Mind Warehouse β–Ί

1) HailSuit
(preview)



2) Rimgard





3) Purp
πŸ†• Kampuni ya ByteDance inatumia teknolojia ya OpenAI kwa siri ili kuunda na kuboresha mfuno wake wa Akili Bandia yake binafsi.

πŸ”˜ Kufanya hivyo ni kukikiuka masharti ya huduma ya OpenAI.

πŸ”˜ Hati za kampuni zinadhihirisha kuwa ByteDance imetumia API ya OpenAI sana katika kufundisha na kutathmini mfumo wake.

πŸ”˜ OpenAI haijachukua hatua zozote! Inawezekana na OpenAI inategemea data za ByteDance!

πŸ”˜ Habari hii inadhihirisha kuwa kampuni inayoimiliki TikTok, inaunda AI yake binafsi ambayo ni kubwa!