Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Full Video iko Youtube Ya #Simukitaa Link iko Kwenye Bio.. #...
Subscribe Tehama Online on youtube,nenda youtube andika Teha...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

JE ! Itasaidia nini ? Tanzania Kupata "ORBIT" ya "SATELLITE
#snashtz #tanzania #satellite
JE ! Itasaidia nini ? Tanzania Kupata "ORBIT" ya "SATELLITE
Furiosa Trailer Review
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

The Worst Hot Takes in Tech
You all should be sorry

Previous hot takes:

Jimmy: @JxmyHighroller

MKBHD Merch:
Tech I
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
NAMNA YA KUTATUA TATIZO LA SIMU YAKO KUJITOUCH (GHOST TOUCH)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
How To Make Money with APIs & AI (Full Guide)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Asante mama Samia Suluhu ,kupata #orbit hii ni kubwa sana #s...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Unajua Madhara Ya Makava ? Na Solution ikitokea simu imepata...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Unataka Battery Lako Liwe Na Nguvu Zaidi Ya Mwanzo? #simukit...
Tangazo hili limevuma wiki hii na kusababisha watu wengi kuona tangazo hili halikuwa na umakini; na Samsung inafuta details za vifaa vya kampuni pinzani kama vile Apple katika picha zake.

Samsung ilikuwa inatangaza SSD zake, lakini design wake alisahau ku-edit keyboard ya kumpyuta iliyotumika kwenye picha isionekane ni MacBook.

Upande wa kushoto ina alama ya Windows lakini upande wa kulia baada ya Space walisahau kufuta alama za Keys za MacBook.
OnePlus Open na OnePlus Pro katika upande wa kamera.
Mark Zuckerberg anajenga nyumba na Bunker kubwa ya kuishi chini ya ardhi katika visiwa vya Hawaii.

Ujenzi wake unakadiriwa kugharimu zaidi ya Dola Milioni 100.
📊 Baada ya dunia kuingia katika Karne ya Mitandao ya kijamii, asilimia kubwa ya watu waliopo katika mahusiano wamekutana MTANDAONI

💡 Zile zama za miaka ya kukutana mashambani, kazini, vyuoni, na mitaani - zimepungua sana baada ya zama za mitandao kuingia...
🆕 Apple imerekebisha madhaifu ya iPhone kupata crash kwa kudukuliwa na Flipper Zero.

Katika iOS 17.2 - Flipper haiwezi kushambulia mfumo wa Bluetooth ya iPhone