Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🔘 Ana mikono ambayo ina umakini katika kubeba vitu vinavyoweza kuvunjika - mfano mayai, kioo, n.k.

🔘 Mikono yake inaweza movements nyingi na kutambua ugumu wa vitu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung Galaxy A03s Reset Forgot Password Reset Not Working FIXED!!
Samsung A03s Hard Reset Not working solution
#samsu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 COOL INVENTIONS FOR ROOF OF YOUR HOME
Mind Warehouse ►

1) JellyFish Lighting

2) ScopeDome

3) SOURCE®
🔘Zamani, Apple ilikuwa inapanga lens za kamera katika upande mmoja; baada ya Apple kuanza kuweka lensi mbili kwenye kamera za iPhone.
Tetesi zinaonyesha Apple itaweka design ya iPhone X na iPhone 12 kwa pamoja. Sehemu ya kamera ya iPhone 16 (iPhone ambazo sio Pro) zitafanana
🆕 Apple inapanga kurudisha design ya lens za kamera za iPhone 16 (iPhone za kawaida ambazo sio Pro) kuwa na lens ambazo zinakaa upande mmoja.

Wiki hii tetesi zinaonyesha Apple itaziweka katika upande mmoja na kuongeza mabadiliko kidogo kwenye design.
RT @inframe_tz: Kamera zina maumbo ya ajabu sana,
↳ Meet DJI Ronin 4D-8K

Price:
USD $12,838
↳ Tsh 32,159,190.00
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How To Summarize a YouTube Video With ChatGPT
🔍 Unlock the Power of Summarization with ChatGPT! Learn How to Summarize YouTube Videos Like a Pro! 🚀📑

Welcome to ChatGPT Tutorials, your go-to destination for all things AI! In today's tutorial, we're delving into the incredible world of video summarization using ChatGPT. Discover the step-by-step guide on how to effectively summarize any YouTube video, making information absorption faster and more efficient!

📌 Key Takeaways:

Why video summarization matters and how it can revolutionize your content consumption.
Introduction to ChatGPT and its capabilities in summarization.
A hands-on demonstration of summarizing a YouTube video using ChatGPT.
Tips and tricks to generate concise and informative summaries tailored to your needs.
👨‍💻 Who Should Watch This Tutorial:

Content creators seeking efficient ways to summ...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kurudisha picha zilizofutika kimakosa
katika video hii utajifunza jinsi ya kurudisha picha na video zilizofutika kimakosa katika simu yako.

link:-
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Black Mirror "The Entire History of You" Review / Noma ! Sana ( in Swahili )
#snashtz #movies #netflix
Black Mirror "The Entire History of You" Review / Noma ! Sana ( in Swahili )
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Redmi A1+ FRP Bypass 220733SFG Xiaomi Android New Patch!!
Redmi a1 frp bypass,redmi a1 2024 frp bypass,redmi a1 frp bypa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Sijui na Hii itakufa ? Steam Deck Review
#snashtz #games #steamdeck
Sijui na Hii itakufa ? Steam Deck Review
Video Source @mkbhd
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kumbe Makampuni makubwa yote yanatumia C !! |#nk
Kumbe Makampuni makubwa yote yanatumia C !! |#nk

Link ya Group la Cod
🆕 Thamani ya hisa za Apple inazidi kupanda na hakuna dalili ya kupungua kwa kasi ya ongezeko la thamani ya hisa za Apple Inc.

Baada ya kufunga kwa rekodi ya juu siku ya Jumatano, thamani ya soko la Apple inakaribia ile ya soko kubwa la hisa la Ulaya: Ufaransa.

Thamani ya pamoja ya soko la kampuni zilizoorodheshwa Paris ilikuwa karibu $3.2 trilioni kufikia kufungwa kwa siku ya Jumatano dhidi ya $3.1 trilioni ya kampuni hiyo ya teknolojia, kulingana na ripoti iliyoandaliwa na Bloomberg.

Hii ina maana kwamba Apple ni kubwa kuliko masoko yote ya hisa isipokuwa sita makubwa zaidi duniani.
🆕 Haya ni mabadiliko mapya ya WhatsApp kwa watumiaji wa iPhone:

⏱️ Uwezo wa kutuma ujumbe wa Sauti ambao unafutika baada ya mpokeaji kusikiliza

📌 Ku-pin ujumbe ndani ya chats

🛜 Sehemu ya kuona kama internet ipo okay kwenye calls