Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Android Auto imeanza kuweka uwezo wa kuhifadhi location ya eneo ambalo umepaki gari yako.

🔘 Itaunganisha sehemu hiyo na app ya Google Map hivyo itakuwa rahisi kuona location ambayo mara ya mwisho ulihifadhi gari lako.
🚨 Apple na Google zimethibitisha kuwa taasisi na mamlaka za Kiserikali zinachunguza na kufahamu taarifa za watu kwa kutumia mfumo wa Push Notifications.

Mfumo wa Push Notification unaweza kuonyesha messages zako, apps ambazo unatumia sana, vitu ambavyo unatumiwa na watu ambao unawasiliana nao.
🆕 Chrome itaweka uwezo wa kutengeneza themes kwa kutumia Akili Bandia
🆕 Facebook Messenger imeweka mfumo wa end-to-end encryption kwa watumiaji wote.
🔘 Mfumo wa E2E utakuwa by default kwa watumiaji wote.
🔘 Facebook haitakuwa na uwezo wa kusoma chats na kusikiliza calls.
🔘 Ni feature ambayo imechukua muda sana kuwekwa!
🆕 WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuweka picha au video kwenye Status bila kupunguza ubora wa picha/video.
WhatsApp itaweka option ya HD katika sehemu ya kuweka Status hivyo mtumiaji wa WhatsApp ataweza kuweka picha/video bila kupunguza ubora wa picha au video.
Threads app kutoka Instagram imeongeza kipengele cha hashtag kilichokuwa kinasubiliwa na wengi ndani ya mtandao huo.
Hivi sasa watumiaji wataweza kuongea alama ya # kupitia maandishi au kitufe kidogo sehemu ya kuanda thread post.
Alama hii inaelekeza post zote jumuishi chini yake na kuzileta pamoja kama ilivyo kawaida kupitia mitandao na majukwaa mbalimbali mtandaoni.
#Hashtag #Threads
WhatsApp Channels sasa zinaweza kuwa na admin wengi.
Wamiliki wa WhatsApp Channels wanaweza kuwaalika watu wengine kusimamia. Kipengele hiki kinawapa admins wapya uwezo wa kutuma masasisho na kutazama maelezo ya mmiliki/muanzilishi wa WhatsApp Channel.
#WhatsApp #WhatsAppChannels
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Why Don't More Smartphones Have This?
The ultimate anti-reflective mat
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hizi Hapa "DETAILS" Zilizofichwa /GTA VI Trailer Review
#snashtz #games #gta6
Hizi Hapa "DETAILS" Zilizofichwa /GTA VI Trailer Review
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Itel A18 A512W Hard Reset
Hard Reset Itel A18 A512W Without PC Unlock
🆕 MacDonald imesema 2024 itaanza kutumia Akili Bandia ya Google ili kutambua kama chips zimeiva vizuri na kusimamia shughuli za maandalizi ya vyakula na usimamizi wa baadhi ya shughuli.

corporate.mcdonalds.com/corp
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kufanya setup ya Router |#wifi
Jinsi ya kufanya setup ya Rout