Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.74K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
May 24, 2023 at 04:09PM
May 24, 2023 at 06:07PM
4KB
May 25, 2023 at 04:15PM
bongotech255 - Kwenye iphone kuna feature inaitwa Siri...
bongotech255 - Home | Facebook

Kwenye iphone kuna feature inaitwa Siri ina mambo mengi sana inarahisisha simu kuonekana simple sana.

Kupitia simu unaweza andika ujumbe haraka sana bila kugusa keyboard Ikiwa labda unaendesha gari au umeshika begi , unapika nk basi unaweza tuma ujumbe bila kushika simu mkononi. Lakini siri inaweza fanya Zaidi ya hayo unayoyajua, najua apple haiwezi kukuambia kila kitu ila kilichopo kwenye iphone ila kazi Yetu kuwajuza kwa yale msiyoyajua Leo nakuambia baadhi 👇 1) Quick find password for app & website Unajua kwenye simu zetu unaweza ku save passwords toka kwenye app ambazo ume sign au login kupitia icloud keychain kwenye iphon...

View original post
bongotech255 - Kuna baadhi ya ishara zikitokea Kwenye simu...
bongotech255 - Home | Facebook

Kuna baadhi ya ishara zikitokea Kwenye simu jua kifaa chako kimeathiliwa na virusi , kimekua hacked ivyo upelekea kufanya mambo ya ajabu ajabu ?

Najua watu wengi tunapenda kutumia mitandao ya kijamii lakini inabidi mjihadhari sana unaweza kuibiwa au kudukuliwa simu yako

𝗦𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗷𝗼𝘁𝗼

Ukianza kuona simu ya … See more

Shukrani
4KB