Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.75K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
May 13, 2023 at 04:07PM
bongotech255 - Infinix Hot30 vs Samsung Galaxy A14...
bongotech255 - Home | Facebook

Infinix Hot30 vs Samsung Galaxy A14

Kampuni ya Infinix na Samsung ni kampuni zinatoa simu Kali sana kadri miaka inavyozidi kwenda tunaona Infinix anazidi kuja Kasi kwenye soko la simu. Leo nawaletea comparison kati ya Infinix Hot30 na Samsung Galaxy A14 je simu Gani ya kutumia ? 1)Price zake Zote ziko sokoni ila Infinix Hot30 gharama yake ni nafuu kuliko Samsung Galaxy A14 , kwa gharama infinix ni rahisi kumiliki kuliko kutumia Samsung Galaxy A14. 2) Display & Security Infinix Hot30 na Samsung Galaxy A14 zote zinatumia kioo Cha IPS LCD Touchscreen ikiwa na FHD Resolution. Kwenye upande wa smooth animation wote wanatumia refresh rat...

View original post
May 14, 2023 at 04:09PM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Elon Musk and Linda Yaccarino Interview: Twitter 2.0 and Its Impact on Marketers and Conversations
Gain valuable insights into the future of Twitter and how it will impact marketers and cultural conversations by watching this insightful interview between Elon Musk, CEO of Twitter, and Linda Yaccarino, Chairman of Global Advertising and Partnerships.

In this intimate conversation, Musk and Yaccarino explore Twitter 2.0 and its impact on marketers, culture, and conversations. Don't miss this opportunity to learn about the role Twitter plays in shaping cultural conversations.

This session entitled "Twitter 2.0: From Conversations to Partnerships" was recorded live at the Fontainebleau Miami Beach on Tuesday, April 18, at 12:55 ET.

#elonmusk #twitter #interview
bongotech255 - Whatsapp wiki hii wataachia feature mpya...
bongotech255 - Home | Facebook

Whatsapp wiki hii wataachia feature mpya kupitia watumiaji wa android, iOS pamoja na desktop uwezo wa kuediti message uliyotuma kwa watu au kikindi cha watu.

Utakua na uwezo wa kuediti message uliyotuma kwa watu na kuweza kuituma tena labda ikiwa Kuna mahali umekosea kuandika taarifa Fulani na umeshatumq basi utakua na uwezo wa kuediti iyo message ndani ya dakika 15 toka ulipotuma. Hii feature imekuja kwa wale watu wanaokosea kutuma ujumbe kwa mtu na kufuta badala yake utakua na uwezo wa kuediti tu na kutuma tena kwa watu. kwa sasa hii feature inapatikana kwa watumiaji wa Beta program tu ila ndani ya wiki moja baadae itakua kwa wat...

View original post
4KB
4KB
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Introducing Chat Lock on WhatsApp
For your eyes only 🫣With Chat Lock you don’t have to worry about anyone reading something they’re not supposed to when you can keep your chats in a private folder and password-protected 🔒
May 16, 2023 at 02:13PM