InstantView from Source
Telegraph
Code za Siri za Smartphones Mbalimbali (Njia Rahisi)
Android ni moja kati ya mfumo ambao una mambo mengi sana, hadi sasa ni mambo machache sana ambayo tayari watumiaji wa kawaida wanafahamu kuhusu mfumo huu. Kuliona hilo leo Tanzania tech tunakuletea njia rahisi ambayo unaweza kutumia kujua code za siri za…
InstantView from Source
Telegraph
Seezi: Tovuti ya Kuuza na Kununua Bidhaa Bila Udanganyifu
Kama unavyojua, soko la mtandaoni limekuwa likikua kwa kasi sana katika miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo, pamoja na maendeleo haya ya kiteknolojia, tatizo la udanganyifu wa mtandaoni limekuwa likiongezeka kadiri siku zinavyozidi kwenda. Kwa sababu hiyo…
bongotech255 - Tatizo la blue screen of death kwenye...
bongotech255 - Home | Facebook
Tatizo la blue screen of death kwenye kompyuta
Ni tatizo linatokea kwenye kompyuta nyingi haswa watumiaji wa window 10 Utakutana na tatizo la Blue screen of death (bsod). Inaitwa Blue screen of death (bsod) kwa jina jingine ni stop message au stop Error. ni warning message inatokea kwenye kompyuta yako baada kutokea tatizo wakati unatumia. Kwenye window 11 mara nyingi inatokea black screen ikiwa na Qr code ila tatizo huwa ndo lile lile kama window 10. Je usababisha na tatizo gani kwenye kompyuta yako 1️⃣ Driver unajua computer driver ni file ambazo zimetengenezwa hardware manufacturer ambayo usaidia hardware na operating system kufany...
View original post