Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.76K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Jinsi ya Kutengeneza Forum kwa Kutumia Smartphone
InstantView from Source
bongotech255 - Tatizo la blue screen of death kwenye...
bongotech255 - Home | Facebook

Tatizo la blue screen of death kwenye kompyuta

Ni tatizo linatokea kwenye kompyuta nyingi haswa watumiaji wa window 10 Utakutana na tatizo la Blue screen of death (bsod). Inaitwa Blue screen of death (bsod) kwa jina jingine ni stop message au stop Error. ni warning message inatokea kwenye kompyuta yako baada kutokea tatizo wakati unatumia. Kwenye window 11 mara nyingi inatokea black screen ikiwa na Qr code ila tatizo huwa ndo lile lile kama window 10. Je usababisha na tatizo gani kwenye kompyuta yako 1️⃣ Driver unajua computer driver ni file ambazo zimetengenezwa hardware manufacturer ambayo usaidia hardware na operating system kufany...

View original post