bongotech255 - kama unapenda kujifunza mengi zaidi kuhusu...
bongotech255 - Home | Facebook
kama unapenda kujifunza mengi zaidi kuhusu teknolijia karibu telegram huku tutakua tunatoa fursa ys kuuliza maswali na kujibiwa kwa urahisi sana ukiwa huna changamoto yoyote kuhusu simu , kompyuta, apps nk
karibu telegram 👇 https://t.me/bongotech255group Teknolijia ni Yetu sote 😊

bongotech255 - watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo...
bongotech255 - Home | Facebook
watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo toka tununue zinaweza fika mpaka miaka 3 au 5 ila unajua ni muhimu kubadilisha simu sio kukaa nayo mpaka ikufie.
Kuna mtu mpaka abadilishe simu ujue kaibiwa au kapoteza lakini simu nazo zinachoka Kuna kipindi ikifika ni lazima ubadilishe ! Sio mpaka ife mkononi mwako. Ishara zipi utajua sasa ni wakati wa kubadilisha simu yako ? 1️⃣Betri Kufa Baada ya kukaa na simu yako Kwa Muda fulani Kuna ile Hali unaona betri imebadilika tabia yake utaona haikai na chaji Muda mwingi Yani kila ukienda Mahali wewe ni wa kutembea na chaji au kuomba chaji. Wengine usema nabadilisha betri lakini ni suluhisho la...
View original post